Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
Ukweli ni kwamba Jk keshabariki posho za masaburi.Ila kwa vile unamjua raisi wako asivyo na msimamo anapima nguvu ya upepo na nadhani hakuna kiongozi kigeugeu kama yeye duniani.Je umeshau aliposema hawajui Dowans, na aliposema hakuna mwanafunzi wa chuo kikuu atafukuzwa kwa kukosa ada? Umesahau alivyomtuma Vuvuzela nape awatukane wakuvuliwa magamba kisha kamgeuka.Na ilani ya CCM na OIC je? si aliwageuka waisilamu wenzake.
Btw, wote hao yaani Jinga Kubwa, Bi kiroboto na huyo mtoto wa tajiri ambaye hajitambui wala hatambui madaraka yake ni yapi [mzee wa kumwaga chozi]; ni vipofu wanao-ongozana na mwisho wa siku wote watatumbukia katika shimo.
Kama kweli wewe naye unajiita great thinker, basi humu JF tumeishiwa. Kama baba yako aliyekuzaa akikutukana huwezi kujisikia vizuri ukimtukana wewe yeye atajisikiaje. Kama Initials za majina ya watu zingekuwa zinamaanisha Matusi sijui ingekuaje, hebu tupe initials za jina lako na wewe tukutafutie tusi lako. Kiongozi yeyote ambaye ni RIGID ndugu yangu siyo kiongozi huyo. Kiongozi anayejali Demokrasia na utawala bora lazima awe Flexible, ndiyo maana Viongozi wa CDM (SLAA na MBOWE ) wanapeleka chama wanavyojua simply because they are Rigid. Hakuna anayethubutu kuwakosoa na kuwashauri. Angalia mahusiano ya ZITTO na viongozi wakuu wa CDM na mahusiano na watu kama LEMA na SUGU na viongozi hao ni tofauti kabisa kwa sababu ZITTO hawanyeyekei na pale wanapokwenda kinume anatofautiana nao( mfano ni walipotoka nje ya ukumbi wa bunge wakati President anahutubia, ZITTO alibaki). Lema na Sugu wanakubalika kwa viongozi hao kwa sababu wanafuata nyao zao kama vile kuanzisha vurugu na n.k
kwa mtazamo wangu JK siyo kigeugeu bali ni Kiongozi anayekubali ushauri, madilko na hali halisi kulinagana na mazingira ya wakati huo.