Pinda hatarini kung'olewa

Pinda hatarini kung'olewa

Ni baada ya Waziri wa Elimu kulidanganya Bunge kuwa wizara yake ina mitaala ya kufundishia. Waziri wa Elimu Mhe. Kawambwa alipotakiwa kuwasilisha mitaala hiyo mezani kwa Naibu Spika na mtoa hoja Mhe Mbatia -Mbunge wa kuteuliwa, Mhe. Kawambwa alibaki kutoa macho!!!

Wabunge wa upinzani wameazimia kutoa hoja ili waziri Kawambwa ajiuzuru na asipojiuzuru watamtaka aliyemteua amfukuze kazi vinginevyo Wabunge wa upinzani watatoa hoja ya kutokuwa na imani na waziri mkuu Mhe. Pinda!

Maskini Pinda huku wana Mtwara wanamtaka amuhamishe Mkuu wa Mkoa wao Simbakalia na huku wabunge wanataka kuazimia kutokuwa na imani naye!!

Nina wasiwasi kuwa Pinda atachangayikiwa na msongo wa mawazo!

asije pata brain conqusion tu.....
 
Huu ndio wakati wa kuamua kwamba katika katiba mpya, tunachagua kipi baina ya government stability and government accountability? How do we balance the two? Ndani ya miaka mitano, kupoteza waziri mkuu mmoja, huku mwingine akitishiwa kutolewa mara mbili hakika ni ishara kwamba tuna face government instability lakini at the same time government accountability. But how do we strike the right balance between the two chini ya katiba mpya? Presidential form of government leads to government stability lakini less government accountability, na parliamentary form of government leads to government accountability but less stability, and too much of one at the expense of the other is not good for any country;

Basi turudishe U-Chief waliotunyang'anya wakoloni-weupe tuachane na hii miungu inayoitwa demokrasia inayoshadidiwa na wakoloni weusi
 
habari yako imekaa kiudaku. kabla hujajua kilichopo ndani unajisikia kufungua ukiingia tu unatamani kutoka. tumia akili kidogo kukataza.

kama jina lako linavyojipambanua nafikiri ungeonyesha ni sehemu gani ameonyesha udaku.........haya majibu mepesi yakukurupuka ndiyo yamewafikisha mlipo hata kwenye mambo ya msingi mnaleta uccm
 
Na huko Tabora wameanza kuuwa tena Albino atabaki kulia tu baba wa watu

Jamani jamani!!!!! Ni Tabora ya wapi hiyo ebu wekeni mambo wazi ili niwaambia jamaa zangu wasitembee usiku kwani Albino wengi ni rafiki zangu... Anyway kwa kuwa nipo mbali nipeni taarifa tu nitawajuza jamaa zangu.
 
Nina wasiwasi kuwa Pinda atachangayikiwa na msongo wa mawazo!
Mtoto wa Mkulima ni chuma cha pua, hakiyeyuki kwa moto wa nyasi!, na kama ni kisiki, hicho ni kisiki cha mpingo!, hakingoleki kwa jembe, panga wala shoka!, labda kwa ...
Pasco.
 
Ni baada ya Waziri wa Elimu kulidanganya Bunge kuwa wizara yake ina mitaala ya kufundishia. Waziri wa Elimu Mhe. Kawambwa alipotakiwa kuwasilisha mitaala hiyo mezani kwa Naibu Spika na mtoa hoja Mhe Mbatia -Mbunge wa kuteuliwa, Mhe. Kawambwa alibaki kutoa macho!!!

Wabunge wa upinzani wameazimia kutoa hoja ili waziri Kawambwa ajiuzuru na asipojiuzuru watamtaka aliyemteua amfukuze kazi vinginevyo Wabunge wa upinzani watatoa hoja ya kutokuwa na imani na waziri mkuu Mhe. Pinda!

Maskini Pinda huku wana Mtwara wanamtaka amuhamishe Mkuu wa Mkoa wao Simbakalia na huku wabunge wanataka kuazimia kutokuwa na imani naye!!

Nina wasiwasi kuwa Pinda atachangayikiwa na msongo wa mawazo!

Tanzania tuna mtindo wa kuiga mambo yasiyoya msingi. Mh. Pinda alikwenda Mtwara kutuliza ghasia, namshukuru sana kwa kufanikiwa hilo maana asingefanya hivyo leo tungekuwa katika ramani ya dunia tukiwa tunaogelea katika maji machafu. Kuwepo Pinda pale Mtwara ilikuwepo Serikali nashangaa wengine wanasema JK amechelewa. Maana ya kuwa Pinda kuwa mtendaji wa Serikali ni nini??? Ndiyo hiyo Bw. Tuwe fair kutoa maoni tusibeze kila linalofanyika. waliopatwa na maafa huko Mtwara wanamshukuru sana Pinda, the problem wengi tunaangalia TV tungevaa viatu vya waathirika!!!! Tusingependa kugaragaza AMANI KATIKA MAVUMBI. Tudumishe AMANI!!!!!
 
Maskini mawaziri waislamu.Watu wa mfumo walianza kumuandama Omar Nundu akaenda,akaja Mustafa Mkullo akaenda.
Huyu Kawambwa hata sikutarajia kutokana na kuwa kwake mtetezi wa NECTA.Ukiona hivyo kuna kijambo kidogo cha mfumokristo ambacho ama hajatekeleza au ameachia sehemu fulani wafaidi watanzania wote.
Sijui akiondoka Kawambwa baraza la Kikwete litabaki na waislamu wangapi?.Wacha yamkute Kawambwa atajua kuwa watu wa mfumo hawafanyiziki wema.Akitaka kuwa mzuri basi awe mkweli na amkumbuke Mola wake zaidi.
 
jamani mtaala wa elimu haupo kinachofanyika ni kucopy na kupaste mtaala wa kenya kisha tunapeleka stationery na kufanya binding! Wapeni muda jamani maana hata huyo waziri haujui na hajawahi kuulizia
 
Maskini mawaziri waislamu.Watu wa mfumo walianza kumuandama Omar Nundu akaenda,akaja Mustafa Mkullo akaenda.
Huyu Kawambwa hata sikutarajia kutokana na kuwa kwake mtetezi wa NECTA.Ukiona hivyo kuna kijambo kidogo cha mfumokristo ambacho ama hajatekeleza au ameachia sehemu fulani wafaidi watanzania wote.
Sijui akiondoka Kawambwa baraza la Kikwete litabaki na waislamu wangapi?.Wacha yamkute Kawambwa atajua kuwa watu wa mfumo hawafanyiziki wema.Akitaka kuwa mzuri basi awe mkweli na amkumbuke Mola wake zaidi.

Asee....
Kama kila kitu kinahusishwa na dini basi tutabaki maskinimilele.
 
Maskini mawaziri waislamu.Watu wa mfumo walianza kumuandama Omar Nundu akaenda,akaja Mustafa Mkullo akaenda.
Huyu Kawambwa hata sikutarajia kutokana na kuwa kwake mtetezi wa NECTA.Ukiona hivyo kuna kijambo kidogo cha mfumokristo ambacho ama hajatekeleza au ameachia sehemu fulani wafaidi watanzania wote.
Sijui akiondoka Kawambwa baraza la Kikwete litabaki na waislamu wangapi?.Wacha yamkute Kawambwa atajua kuwa watu wa mfumo hawafanyiziki wema.Akitaka kuwa mzuri basi awe mkweli na amkumbuke Mola wake zaidi.

Nimekutukana!
 
ni matumaini yangu kuwa wakati wa ubabaishaji umekwisha. Hivi sasa ni kazi na dawa tu
 
Huu ndio wakati wa kuamua kwamba katika katiba mpya, tunachagua kipi baina ya government stability and government accountability? How do we balance the two? Ndani ya miaka mitano, kupoteza waziri mkuu mmoja, huku mwingine akitishiwa kutolewa mara mbili hakika ni ishara kwamba tuna face government instability lakini at the same time government accountability. But how do we strike the right balance between the two chini ya katiba mpya? Presidential form of government leads to government stability lakini less government accountability, na parliamentary form of government leads to government accountability but less stability, and too much of one at the expense of the other is not good for any country;

Tunahitaji vyote viwili kama unavyopendekeza, lakini walipa kodi ambao ndiyo wananchi wapiga kura wanahitaji serikali yao iwe more accountable kwa mambo yote yanayowahusu; maendeleo, ustawi wa jamii, haki na usawa! Hivyo government accountability ndiyo itapelekea kuwa na government stability. Mgogoro baina ya wabunge wa upinzani na serikali ni accountabilty!

Hivyo katika katiba mpya ni vema wabunge wasiwe mawaziri! Mawaziri ambao sio wanbunge ni rahisi kuwawajibisha au kuwajibika kuliko ilivyo sasa ambapo wanahofu ya kukidhalilisha chama chao!
 
Tatizo la PINDA akibananishwa sana hachelewi kulia...sipati picha akiwa peke yake huko chumbani anavyopiga mayowe.....

mkuu asigwa huyo ndio mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda,waziri mkuu wa jamhuri ya muungano ya Tanzania.
 
Last edited by a moderator:

Tunahitaji vyote viwili kama unavyopendekeza, lakini walipa kodi ambao ndiyo wananchi wapiga kura wanahitaji serikali yao iwe more accountable kwa mambo yote yanayowahusu; maendeleo, ustawi wa jamii, haki na usawa! Hivyo government accountability ndiyo itapelekea kuwa na government stability. Mgogoro baina ya wabunge wa upinzani na serikali ni accountabilty!

Hivyo katika katiba mpya ni vema wabunge wasiwe mawaziri! Mawaziri ambao sio wanbunge ni rahisi kuwawajibisha au kuwajibika kuliko ilivyo sasa ambapo wanahofu ya kukidhalilisha chama chao!

pia nafasi ya spika wa bunge na naibu wake izingatie weledi(professionalism) na nafasi hiyo itangazwe watu wenye taaluma ya uanasheria waiombe,hivyo tutamchagua mtu kulingana na uwezo wake na sio kutoka chama fulani,hii italisaidia sana bunge ktk kuiwajibisha serikali kuliko hivi sasa ambapo spika na naibu wake ni makada wa chama tawala hivyo kutumika kwa maslahi ya chama tawala na serikali yake zaidi kuliko kuwajibika kwa wananchi kupitia bunge letu,spika anakuwa na wasiwasi wa kuwajibishwa na chama chake zaidi ktk caucus kuliko jimboni kwake alikotokea kutokana na mifumo ya kidikteta naya ukandamizaji iliyoota mizizi ktk vyama vyetu vya kisiasa hapa nchini,nadhani kuna haja ya kulitizama hili ktk katiba mpya.
 
Ngoja akapige Paffu tena mataipata hiyo Mitaala!

PINDA.4.jpg
 
Back
Top Bottom