Pinda hatarini kung'olewa

Pinda hatarini kung'olewa

kama jina lako linavyojipambanua nafikiri ungeonyesha ni sehemu gani ameonyesha udaku.........haya majibu mepesi yakukurupuka ndiyo yamewafikisha mlipo hata kwenye mambo ya msingi mnaleta uccm
nitake radhi kwanza kwa kuniita ccm. tabu niliyonayo mimi familia yangu, majirani na jamaa ni kwa sababu ya ccm. tumevaa sana matairi ya gari miguuni (speed 2km/h, tumevaa maguo ya kaki, familia zetu za kike zimevaa mawingu, makaniki etc. tumepanga sna mistari kwenda kununua sabuni, sukari chumvi na hata kufilisiwa na ccm.na madhila mengine mengi. narudia tena niombe radhi.
kwenye mada yako haijakaa vizuri kama nilivyokueleza, unaongelea as if is something for sure will happen soon, hukutakiwa uandike hivyo, ni udaku na kuvuta tension za watu kupumbavu.
 
Back
Top Bottom