barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Stupidest comment of the thread!Magu nitamuona mzalendo na shujaa km akitaja mshahara wake, Na Mali zake ili twende sawa
Stupidest comment of the thread!Magu nitamuona mzalendo na shujaa km akitaja mshahara wake, Na Mali zake ili twende sawa
Mkuu hao ndiyo bavicha bana akili yao wanaijua wenyewe utadhani walichemshwa kwenye maji ya moto baada ya kuzaliwa akili zikayeyuka.Nimepitia huu uzi zaidi ya mara 10 sijaona hiyo sehemu CCM wanataka madaraka ya rais yapunguzwe labda macho yangu na huu uzee sijui miwani yangu ipo wapi.
Inatakiwa usome kama unasoma gazeti la MAWIO, ndo utaelewa!Ukisoma kama gazeti la Mzalendo huwezi ambulia chochote.
We kiazi kweli hivi lile kuku lenu la kizungu fisadi namba moja likowapi siku hizi.Tulia wewe mbona povu linakutoka Kulikon au ndo umeshaanza kuisoma no
We kiazi kweli hivi lile kuku lenu la kizungu fisadi namba moja likowapi siku hizi.[/QU OTE]
Hahaaaa mkuu Kuku ndo lipi hilo hatuna Kuku ukawa.
Haaa haaaa , ndio tatizo la kupinga kila kitu ili mradi may be now watazinduka na kuvielewa vitu na kuvisimamiaNaamini hivi sasa wao ndio wanaisoma namba kuliko hata wapinzani kwa anayoyafanya Magufuli.
Sina shaka hivi sasa nao wameanza kuonja machungu ya madaraka makubwa ya kikatiba aliyonayo raisi na pengine wanatamani yapunguzwe na sitashangaa kuwasikia wakidai hadharani madaraka ya raisi yapunguzwe au hata kuwatumia wapinzani.
Muosha, huowoshwa.
Mzee umeugeuza nyuma huu uzi?,angalia kuna sehemu imeandikwa p.t.o!!!Nimepitia huu uzi zaidi ya mara 10 sijaona hiyo sehemu CCM wanataka madaraka ya rais yapunguzwe labda macho yangu na huu uzee sijui miwani yangu ipo wapi.
Baada ujadili mambo ya msingi unajadili mambo ya mtu binafsi, au ulitaka Dubai upelekwe wewe mkuu maana una wivu balaaaAkiwa ARUSHA hivi karibuni kasema atatumbua majipu mpaka kwny vyama cha Siasa. CCM ikianza then atahamia kwenye Ruzuku za vyama cha Siasa pamoja na Fedha za ofisi ya Kiongozi wa Upinzani ( KUB) asizichezee kama wakati ule wa Chotara wa Kikwere anachukua pesa za Bunge anapelekea nje Viti maalum kujadili 'Maendeleo ya nchi'Dubai atakwenda na Maji.
Si unajua Bavicha wakisha kunywa viroba?Nimepitia huu uzi zaidi ya mara 10 sijaona hiyo sehemu CCM wanataka madaraka ya rais yapunguzwe labda macho yangu na huu uzee sijui miwani yangu ipo wapi.
Nibora uendelee kutomuona mzalendoMagu nitamuona mzalendo na shujaa km akitaja mshahara wake, Na Mali zake ili twende sawa
Walio hujumu nchiTuliwaambia ila wao kila wazo linalotoka upande wa pili wanadhani ni la uadui hivyo wanalikataa tuu.
Natamani Magufuli atumie vibaya madaraka yake na sio kuwafukuza tuu bali sasa awacharaze na viboko wale wote walio hujumu nchi kwa msaada wa ccm
Upo sawasawa mkuuHakuna kigeni hapo! Malengo ya Magufuli yalikuwa wazi...mwenye masikio alisikia toka siku ya kwanza ya kampeni...na ndo maana baadhi ya mafisadi walianza kukimbia mapema! Moto wa huyu mzee tunashuhudia hadi upinzani hawaufurahii...Mungu amlinde mzeewetu kwenye hivi vita vikali...
Wanajifurahisha haoNgoja kwanza...kwahiyo mlipendekeza katiba mpya ili rais asiwe na uwezo wa kupambana na wahujumu-uchumi?
2. Kucharaza viboko wahujumu uchumi ni matumizi mabaya ya madaraka?? Hebu fafanua ndugu
Elewa Muktadha! Kishapeleka wengi na haikuwa habari wala hatukujulishwa.Baada ujadili mambo ya msingi unajadili mambo ya mtu binafsi, au ulitaka Dubai upelekwe wewe mkuu maana una wivu balaaa