Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,009
- 74,643
Acha Lowassa hata kama ni mjomba wangu kakwiba, nitaunga mkono kuwajibishwa kwake. Tusinakie tunapiga kelele za hisia tuu eti flani kaiba, mkiulizwa kaiba nini majibu ni kuwa mbona walisema walisema walisema.Walio hujumu nchi
Hahaha ujue Lowassa anashida hapo
Hivi kama kuna kitu kiko wazi kwa Lowassa kigugumizi cha nini? Mnamwogopa kwa nini? Kama ni jipu sii mumtumbue? Tumechoka na vijimaneno maneno kama mashangingi wakati mtu hana kinga ya kutoshtakiwa na mnamshindwa.