kitalolo
JF-Expert Member
- Dec 4, 2006
- 1,827
- 708
Aache unafiki mbona hasemi waziri mkuu nae apigiwe kura uswahilini huku na raisi wake anataka raisi apunguziwe madaraka halafu tuwe na waziri mkuu kilaza kama yeye mbona itakuwa balaa na anataka asiwe mbunge ndo maana alihonga apite bila kupingwa katavi nadhani anaogopa sana wananchi ndo maana hata krisimasi alitembelea hata buchani kuuliza bei ya nyama yaani tusipokuwa na raisi mwenye nguvu kikatiba halafu mkapata waziri mkuu style ya mfalme wa nyuki tumekwisha .
nakushauri utafute alichokisema pinda ndio umwite mnafiki kwakua pia amezungumzia swala la waziri mkuu kutokuwa mbunge na mawaziri wote kwa ujumla kutokuwa wajumbe na akasema utafutwe utaratibu wa kuwapata hawa watu ingawa hakusema ni utaratibu gani, amesema wakati ambapo mawaziri na waziri mkuu wanapotekeleza majukumu yao ya uwaziri upande unaoloose ni wa ubunge. Kwamaana hii hata hiyo njia ya kupigiwa kura mtaani ni miongoni mwa njia ambazo zinaweza kuwa katika huo utaratibu wa kumpata waziri mkuu, ingawa kwenye nyanja nyingine anaweza kuwa mnafiki ila kwa hapa umemwoea.