Pinda amfunika Dr Slaa Kagera

Pinda amfunika Dr Slaa Kagera

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2011
Posts
303
Reaction score
154
Katika ziara za waziri mkuu Pinda, mikutano yake katika mkoa wa kagera hakika imefunika mikusanyiko ya CDM. Nimebaki nikiduwaa, huyu ni Pinda, je akija JK itakuwaje?
 
Crapppp....Tunataka picha wacha kutuletea uabunuasi kukalia tawi unalolikata...!!!
 
Imefunika kwa kujaa watoto wa shule na wafanyakazi wa serikali waliolazimishwa kuhudhuria? Katika hilo inawezekana sana.

Halafu kumbe inawatesa? Mnashindana!
 
TBC wasingezoom zile picha ingekua aibu zaidi kwa pinda.
 
Katika ziara za waziri mkuu Pinda, mikutano yake katika mkoa wa kagera hakika imefunika mikusanyiko ya CDM. Nimebaki nikiduwaa, huyu ni Pinda, je akija JK itakuwaje?
ulisomea wpi uongo?tutaaminije bila picha.tbc wanarusha picha ya bukoba mjini wakati yuko chato.ama kweli ccm,mnaweweseka,shughulikieni matatizo ya watz.usijilinganishe na chadema...mziki mzito,
 
Subutu! Only in your imagination.
 
Katika ziara za waziri mkuu Pinda, mikutano yake katika mkoa wa kagera hakika imefunika mikusanyiko ya CDM. Nimebaki nikiduwaa, huyu ni Pinda, je akija JK itakuwaje?

post picture for a proof of what you have say
 
Ndg zangu huyu mbavu za mbwa anachekesha,binafsi nimehudhuria mojawapo ya mikutano yake ni aibu,hakuna kitu kama hicho
 
Weka picha kuthibitisha ukweli wako
Blaa blaa sii mahala pake hapa.
Tena nnavyojua mimi kipindi hiki hakuna wagombea wakujitolea kukodi mafuso kubeba watu toka wilayani na vitongoji vyake kuja mkutanoni kama kawaida ya ccm katika kutafuta ulaji. Sasa hivi wabunge na madiwani wa ccm wametulia wakiangalia namna ya kurejesha pesa zao walizokichangia chama.
.
 
Siuweke picha hapa, ila ukichakkachua utakua unajidanganya!
 
hivi kumbe kaenda kushindana? Makubwa!!!:a s 13::a s 13::a s 13:
 
bila picha mimi natimka, siwezi kujadili hewa
 
ulisomea wpi uongo?tutaaminije bila picha.tbc wanarusha picha ya bukoba mjini wakati yuko chato.ama kweli ccm,mnaweweseka,shughulikieni matatizo ya watz.usijilinganishe na chadema...mziki mzito,

Vilaza wa teknolojia utawafahamu tu. Hivi hujui picha unaweza kui-multiply zaidi na zaidi. mbavu za mbwa mmoj akazidishwa hadi wakawa milion? Aibu. nawe utajiita msomi?? ndo madhara ya kudesa
 
Katika ziara za waziri mkuu Pinda, mikutano yake katika mkoa wa kagera hakika imefunika mikusanyiko ya CDM. Nimebaki nikiduwaa, huyu ni Pinda, je akija JK itakuwaje?

Pu*%vu zako, kilaza wewe. weka picha.
 
Back
Top Bottom