Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,402
- 320
Katika ziara za waziri mkuu Pinda, mikutano yake katika mkoa wa kagera hakika imefunika mikusanyiko ya CDM. Nimebaki nikiduwaa, huyu ni Pinda, je akija JK itakuwaje?
tumekusikia makamba ni kawaida yako, huchelewi kusema Mungu hoyeeeee!