Pinda amfunika Dr Slaa Kagera

Mkuu,

Ulitakiwa kuandika hivi:

PINDA amem-G-STRING Dr. Slaa Kagera. Hapo ndipo watu wanajiuliza, nani kafunikwa?

3322469483_30469347f6.jpg
 
Kumbe CDM wanapojaza watu inawa-touch ehee hizi kelele zote kumbe zilikuwa za kutaka ligi sasa tulieni mnyolewe msilalamike tena.
 
Katika ziara za waziri mkuu Pinda, mikutano yake katika mkoa wa kagera hakika imefunika mikusanyiko ya CDM. Nimebaki nikiduwaa, huyu ni Pinda, je akija JK itakuwaje?

Kweli nyie mafisadi just too thin in ideas. Badala ya ku-focus na kurekebisha makosa ya ccm, inaangalia idadi ya watu. Inaonekana mnataka kushindana na Chadema kuleta wananchi, I don't think now you can compete with Chadema, Failures za ccm ni itatuchukua karne kwa sisi wananchi kurekebisha, thats why we want you guys out as soon as possible. The story is over fisadi.
 
Katika ziara za waziri mkuu Pinda, mikutano yake katika mkoa wa kagera hakika imefunika mikusanyiko ya CDM. Nimebaki nikiduwaa, huyu ni Pinda, je akija JK itakuwaje?

Labda kama walipika pilau, hao watu watakuwa walikwenda kula pilau, si vinginevyo.
 
Kwa kushangaa bei ya sukari kuwa juu? Yeye si ndio waziri mkuu kwa nini anashangaa?
 
Huyu bwana kweli ni Mmbwa KAMILI kwa propaganda za ki-Abunwasi na wala si mbavu tu!! Mzee, tangu sasa nimekupandisha cheo cha kuwa Mmbwa kamili kwa umbeya usiothibitika!!
 
Mtu asiyetegemewa kuwa na majibu ya ufasaha kwa hoja za akina Mbowe atafunikaje? naye huyo surambaya kakalia kuzungumzia yale yale yasyokidhi majibu ya CDM.
 
If Slaa or Mbowe dies today what will be the future of chadema
Is this one of the many options that you people currently hold in store for the CHADEMA leadership in Tanzania sir???????????????

In particular, what purpose would that line of action lend into making our (Tanzanian's) lives any better after you shall have killed the two???????????????
 
Naombeni muongozo wana jamvi;- hivi inaruhusiwa mtu kama pinda kutumia rasilimali za serikali na kuanza kuhutubia suala la chama chake? kwa posho,magari,mafuta nk, vya serikali??
Wakifanya hivyo wanapaswa kuadhibiwa kwa njia ipi??
 
Katika ziara za waziri mkuu Pinda, mikutano yake katika mkoa wa kagera hakika imefunika mikusanyiko ya CDM. Nimebaki nikiduwaa, huyu ni Pinda, je akija JK itakuwaje?

Kama ni kweli hiyo ndiyo demokrasia na ndivyo tutakavyo nao waendelee na mikutano waeleze wnchi kwamba maisha ni mazuri hakuna mfumuko wa bei hakuna ufisadi hizo ni bla bla za CDM Tu.
Hatutaki, oh CDM wanahatarisha amani! jamani kunya anye kuku akinya bata kaharisha mh mpya!
Msiogope wana ccm na wapenzi kata mbuga nchi nzima kidumu chama cha mapindusi!
 
Hao wachache waliokuwepo walienda kushangaa jinsi alivyo handsome kumzidi bosi wake, tehe tehe tehe!!!!! Hivi walimuuliza kama amekwenda Loliondo kwa mchungaji?
 
Hata kama ikitokea Hivyo haitabadili ukweli kwamba watu wengi wamechoka kimaisha
 
Katika ziara za waziri mkuu Pinda, mikutano yake katika mkoa wa kagera hakika imefunika mikusanyiko ya CDM. Nimebaki nikiduwaa, huyu ni Pinda, je akija JK itakuwaje?

Ahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Mikutano ya chadema tulikuwa tukiletewa picha na ma-evidence kibao.
Weka huo umati uliohudhuria mikutano ya pinda tuone. Ahahahhahahhahhaaaa.
 
Back
Top Bottom