Pinda afunguka sakata la Escrow

wataenda makanisa yote na misikiti yote hata kuzima waende.watanzania wameamka
 
Mwizi,mtu ambaye kwa kijwa chake anasema wananchi wapigwe tu!yaani utawala wa sheria ziiiiiii.......anapeweje heshima hizo!watz!
 
naona kanisa sikuizi limekua kivuli cha uovu wao wanasiasa
 
Samahani sijui kiingereza lau ningekuwa najua ningesema, ''Too late to apologiese''
 
Watanzanzia sasa inabd tuwe macho yawezekana kuna baadhi yao ni mafisadi
 
Hivi Pinda haumwi Tezidume? But he looks sero +ve!
 
Siku yule Jamaa walosema asijadiliwe anaongea na wazee wa Dar nikiikumbuka nashangaa sana.
Hakika nawaambia Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…