Ni kawaida katika maisha kupima mafanikio ya mambo unayoyafanya ukiwa hai duniani. Mara nyingi watu wengi hujipima kwa mambo ambayo ni ya kawaida kama vile wamejenga nyumba ngapi, wamezalisha faida ya shilingi ngapi, wamepata magari/usafiri mangapi, wamevuna kiasi gani.
hebu leo tujiulize umefanya kile kitendo cha unyumba na wanaume au wanawake tofauti (kutegemeana na jinsia yako) wangapi?
Je umefikia lengo (idadi) uliyojipangia?
Mie nimefikisha 24 naona lengo limetimia wakiongezeka zaidi ya hao ni majanga.