Pima mafanikio ya mahusiano ya kimapenzi

Pima mafanikio ya mahusiano ya kimapenzi

Ni kawaida katika maisha kupima mafanikio ya mambo unayoyafanya ukiwa hai duniani. Mara nyingi watu wengi hujipima kwa mambo ambayo ni ya kawaida kama vile wamejenga nyumba ngapi, wamezalisha faida ya shilingi ngapi, wamepata magari/usafiri mangapi, wamevuna kiasi gani.

hebu leo tujiulize umefanya kile kitendo cha unyumba na wanaume au wanawake tofauti (kutegemeana na jinsia yako) wangapi?

Je umefikia lengo (idadi) uliyojipangia?

Mie nimefikisha 24 naona lengo limetimia wakiongezeka zaidi ya hao ni majanga.
"Mi najaza Bus nzima"
 
Witnessj you have a very long journey. Nakuhurumia but if you can manage that life please keep it up and stay focused...
Ofcourse i can manage, that's y nikastick na my only one....jihurumie wewe mwenye 24 mkuu, teh teh teh!....BTW nilipitia SBT nikakuta wamefunga, nasikia uliacha details pale! Ooh! Njoo PM bana...
 
Ofcourse i can manage, that's y nikastick na my only one....jihurumie wewe mwenye 24 mkuu, teh teh teh!....BTW nilipitia SBT nikakuta wamefunga, nasikia uliacha details pale! Ooh! Njoo PM bana...
Ok nitakuPM naomba tupiamo namba yako tuwasiliane fresh Business don't worry you will still stick with your only one BTW 24 to me is more than enough...
 
Ni kawaida katika maisha kupima mafanikio ya mambo unayoyafanya ukiwa hai duniani. Mara nyingi watu wengi hujipima kwa mambo ambayo ni ya kawaida kama vile wamejenga nyumba ngapi, wamezalisha faida ya shilingi ngapi, wamepata magari/usafiri mangapi, wamevuna kiasi gani.

hebu leo tujiulize umefanya kile kitendo cha unyumba na wanaume au wanawake tofauti (kutegemeana na jinsia yako) wangapi?

Je umefikia lengo (idadi) uliyojipangia?

Mie nimefikisha 24 naona lengo limetimia wakiongezeka zaidi ya hao ni majanga.
Mkuu una umri gani?
Au ndo bado uko secondary?
Maana kwa umri wangu mimi 31 yrs tayali nshagonga mademu 216
na bado naongeza idadi!
 
Mkuu una umri gani?
Au ndo bado uko secondary?
Maana kwa umri wangu mimi 31 yrs tayali nshagonga mademu 216
na bado naongeza idadi!
Duuuhh...ni zaidi ya hatareee...kama umekoswa koswa na shot ya umeme, gono hukosi hakyanani..
 
Siri bado inabaki kwa watu wawili tu ingawa kila MTU kwa wakati wake. 24 kwa miaka 30 ya kufanya haka kamchezo I think it is not that much bad. Kitu kikubwa wachangiaji wengi hawasemi ukwelii. Sioni ufahari wowote katika hilo ila nilitaka views /experience kutoka kwenu . naomba nipate numbers tafadhali siyo maelezo.

I stay to be corrected...

ngoja wakupe wajinga wenzio ufahari gani unaojisikia ukizitaja hizo namba KWANZA HIYO MIAKA YAKO 30 BADO HUJAJITAMBUA MKUU BADALA YA KUWAZA VITU VYA MSINGI NILIJUA UNA 18 NDO UNAPEVUKA 30 BADO UNAZIWAZA KE
tena kwa kujisifu what u gain sexing with all that girls? take that shit WATU TUNAWAZA PESA UNALETA UJINGA TENA UTASHANGAA UNA MKE WEWE
ngoja dunia ikufunze kudate na wasichana hata 200 nothing u gain rather loosing your time sijajua kiwango chako cha elimu wewe darasa la nne maana darasa la saba anajielewa miaka 30 nothing mhhhhh idiot
 
Nilianza hii kitu 2010 likizo ya form4 mpaka nw nimegraduet chuo nina 10 tayar najilaum sana bcz malengo yangu ilikuwa nisifanye mpaka ndoa chuo ndio kiliharibu yote hayo kule hostel kila mtu na wake nikashndwa kuvumilia ila nahis nimestop huyu wa kumi inshaalaah itabid nimuoe nina 27 age nw
 
Back
Top Bottom