Pima mafanikio ya mahusiano ya kimapenzi

Pima mafanikio ya mahusiano ya kimapenzi

hahahahahaaaaa kweli aisee maana hata mimi anayejua point (alama)kwenye mwili wangu namuheshimu sana aisee.

maana wakijua wengi sasa itakuwa ya umma tu hamna namna.

kabisa sio kila mtu akujue jue upoje tena mbaya zaidi huyu uliyezoeana nae unachojoa nguo zote hapo kuna siri nilikuja kuligundua hili nini thaman ya mwili kuna demu katika kutaniana nikamuuliza kipi anachokijua mwilini mwangu si akataja una kijikovu takoni akati mimi sijawahi kiona TUITHAMINI MIILI YETU IMEBEBA HESHIMA KUBWA
ndio maana ndoa hazidumu maana unakuwa mwingi wa kuonja onja
 
halafu kuonja onja sio ishu kabisa, bora ustick na mmoja halafu mubadilishe mautundu tu??

hapo umenikosha kabisa.

big up Mkuu.
 
hahahahaha sifa ya mwanaume ugumu wasituletee upuuzi kuvua vua chupi ndo ujanja FICHA KABISA MALI BINAFSI UKIONA UNAGAWA YA UMMA HIYO cha woteeeeeeeeeeee hahahahah
Khaaa watu wengine wanavua vyupi hadi ukihesabu alowavulia kyupi aibu unaona ww
 
halafu kuonja onja sio ishu kabisa, bora ustick na mmoja halafu mubadilishe mautundu tu??

hapo umenikosha kabisa.

big up Mkuu.

ndo hawa wanasumbuka na ndoa kuna mmoja rafiki yangu kikazi kiwembe balaa nikamuuliza kwanin usitulie tafuta maisha hawakufikishi popote hawa alichonijibu eti anatafuta mautundu akayafanye kwa mke wake si ungwasu huu movie za mapenzi zipo mpaka ufanye ndo ujifunze TUNAZIBOMOA NYUMBA ZETU WENYEWE KWA KUENDEKEZA UJINGA
 
Yaan hapo umesema yote Mkuu, mwenye masikio na asikie
 
Khaaa watu wengine wanavua vyupi hadi ukihesabu alowavulia kyupi aibu unaona ww

Hahahaha huyo kama huyu mtoa dhread acha tuwacheke WANAUME WENZETU WAJINGA katika kundi la wajanja ila wao hujiona wajanja kubadilisha wanawake eti ndo uanaume au ndo kuonyesha udhaifu MTU AKIONA MWANAMKE KAINAMA TU JAMAA KASIMAMA ndo wanaobaka ndugu zao hawajui kujizuia SIKU ZOTE USIENDESHWE NA MWILI UTAONA FAIDA YA KUISHI
 
mmmh nina miaka 6 napapuchi mmoja tu! mwl wangu ulivyo nkimvulia kila mtu ntapata wanawake zaidi ya 33 kwa mwaka
 
Yani kuna wanaume na ndevu zao zote wanajisifia kuvua vua pichu hovyo[emoji57]
 
Haya nayo ni mafanikio kumbee,...alaaah!!!! Basi mtuambie pia hayo mafanikio jamanii uckute wengine tunakosa maendeleo au vitu vzr kwa kuendekeza "u-mishonarii"
 
Uliza

Uliza kama kuna faida wanapata
Hakuna wanachopata sana sana kujishusha thamani maana kila unapopita wanajua ukivua nguo tupu yako ipoje kama ni ke ule usumakusumaku unaisha na
 
Hahahaha huyo kama huyu mtoa dhread acha tuwacheke WANAUME WENZETU WAJINGA katika kundi la wajanja ila wao hujiona wajanja kubadilisha wanawake eti ndo uanaume au ndo kuonyesha udhaifu MTU AKIONA MWANAMKE KAINAMA TU JAMAA KASIMAMA ndo wanaobaka ndugu zao hawajui kujizuia SIKU ZOTE USIENDESHWE NA MWILI UTAONA FAIDA YA KUISHI
Hakuna faida yoyote ni kukichosha kiungo chako tu
 
Siri bado inabaki kwa watu wawili tu ingawa kila MTU kwa wakati wake. 24 kwa miaka 30 ya kufanya haka kamchezo I think it is not that much bad. Kitu kikubwa wachangiaji wengi hawasemi ukwelii. Sioni ufahari wowote katika hilo ila nilitaka views /experience kutoka kwenu . naomba nipate numbers tafadhali siyo maelezo.

I stay to be corrected...
 
Witnessj you have a very long journey. Nakuhurumia but if you can manage that life please keep it up and stay focused...
 
Back
Top Bottom