Pilot mwenye uwezo wa kubeba ndege yake

Pilot mwenye uwezo wa kubeba ndege yake

Dah aisee

Kwa nini mkuu wangu kwa nn mnilinganishe na joti akati mimi ni mtanzania mwenye haki ya kutoa maoni yake

Mnanihuzunisha sana
Nawe haujaelewa pia. U Jotti unaoongelewa hapo ni kukusapoti wewe uliyesema kuwa kinachoendelea hapo ni maigizo.
 
1.Wanausalama wameingizwa chaka tena. Kule pwani kuna yule kijana Kuli aliyekula dili na mganga akajifanya kaiba mzigo na ameshinwa kuutua,

2. Kule Mwanza kuna mtu anajiita nabii sumaridi alileta vijana kutoka Kigoma akajifanya wamenasa kwenye kanisa lake wananchi walipotaka kuwaua akawatetea

3. Leo hii mchongo huu wa wazi unatengenezw tena. mchungaji msukuma, anayejifanya mchawi msukuma... ili kesho wateja wajae kanisani kwake ,kwamba ana nguvu za kunasa wachawii!!!!!!???
Hilo mkuu umeliona na ndicho kinachoendelea.
Ila tukio la Mwanza lilivuta wengi, lakini sikuelewa kisa hicho kilipoishia.
 
Hilo mkuu umeliona na ndicho kinachoendelea.
Ila tukio la Mwanza lilivuta wengi, lakini sikuelewa kisa hicho kilipoishia.
Yule mama nabii wa magumashi aliyetengeneza kiki alienda kuwadhamini tena yeye mwenyewe eti anaenda kuwaombea waache vitendo vya ushirikina
 
Back
Top Bottom