Pilot mwenye uwezo wa kubeba ndege yake

Pilot mwenye uwezo wa kubeba ndege yake

Nimemnukuu Nemo judex samahani ndugu
Hahaha nakutania kiongozi usnchukulie serious sana

Rafik angu kachora tatoo ya jina la dem wake juzi... leo kaskia dem wake anaolewa nipo nae apa tunasubiri pasi ipate moto...

😂😂😂😂😂😂😂
 
Swiiiii, swiiiiiii, filimbi yao hiyo nimecheka kweli wakiitwa wenzao akina Mbiti, Ging'hi na Nyau
 
Hahaha nakutania kiongozi usnchukulie serious sana

Rafik angu kachora tatoo ya jina la dem wake juzi... leo kaskia dem wake anaolewa nipo nae apa tunasubiri pasi ipate moto...

😂😂😂😂😂😂😂
Afu ndio ukute zile ambazo hazifutiki weweeee ni mwake😆
 
Sikujua kama wewe ni Mchawi, naomba tu usiweze kusoma PM zetu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha mkuu inshort siamini kama uchawi upo

Ila naamini uwepo wa Mungu


Nishawahi toa mwezi nikiwa advance wachawi wowote shule waniroge daah wakashindwa nkaongeza mieezii mpaka pepa la necta bado sikurogwa

Nkaondoka na kijiti changu
 
Afu ndio ukute zile ambazo hazifutiki weweeee ni mwake[emoji38]
Eeh mkuu leo nimemtembelea,rafiki yangu mida ya saa saba hivi na tayari alikuwa amesonga ugali nikamtuma nje wakati anatoka nje nikaongeza maji kwenye sufuria kumbe sikujuwa alipima maji kulingana na unga uliobaki sasa hivi tunakunywa uji hatuongeleshani .
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Karibu uji chief
 
Hapo kwenye kuingia studio pamenichekesha sana.
Mkuu kwa hiyo hapo maza alikuwa lokesheni???;;
Mama anaonekana kabisa wa kilabuni kapewa elfu 50 ya ulanzi kaingia studio. Hii Ni muvi kabisa. Angalia sura ya maza huyo
 
Hahaha mkuu inshort siamini kama uchawi upo

Ila naamini uwepo wa Mungu


Nishawahi toa mwezi nikiwa advance wachawi wowote shule waniroge daah wakashindwa nkaongeza mieezii mpaka pepa la necta bado sikurogwa

Nkaondoka na kijiti changu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom