Mnavaaga nini?Mchawi anavaa sweta
Wachawi hatupo hivyo
Mnavaaga nini?
Afu ni naskiaga wana wanga bila nguo labda ni utapeli tuView attachment 1187052
View attachment 1187054
View attachment 1187055
View attachment 1187056
Tanzania ya viwanda ni nchi yenye maajabu mengi. Siajabu huyu mama alishikishwa kitu kidogo na mchungaji ili kuvuta waumini wengi kanisani.
Maana kweli baba Swalehe mchekeshajiAchana na comedian
Maana kweli baba Swalehe mchekeshaji
Huyo ni Joti
[/QUOTE joti wa jf
Dah mi ni nani mkuu ?Achana na comedian
Kaniki nyeusi na mara nyingi kifuani panabaki wazi.....Mnavaaga nini?
We kweli jotiDah mi ni nani mkuu ?
Dah aiseeWe kweli joti
Huyu mama alipandishwa kwa ngazi amelala vizuri kwenye concrete1.Wanausalama wameingizwa chaka tena. Kule pwani kuna yule kijana Kuli aliyekula dili na mganga akajifanya kaiba mzigo na ameshinwa kuutua,
2. Kule Mwanza kuna mtu anajiita nabii sumaridi alileta vijana kutoka Kigoma akajifanya wamenasa kwenye kanisa lake wananchi walipotaka kuwaua akawatetea
3. Leo hii mchongo huu wa wazi unatengenezw tena. mchungaji msukuma, anayejifanya mchawi msukuma... ili kesho wateja wajae kanisani kwake ,kwamba ana nguvu za kunasa wachawii!!!!!!???