Na ndio anguko lako pia.Wasi wasi ndio akili.....
Khaaah!!Aah hapana jamani. Wanawake tumeumbwa mateso ya ndoa
Mie nimefanyaje? Kila siku kutoa ushauri kwa wanawake, em muanze kupeana ushauri ninyi kwa ninyi kwanza khaaaHata weweeee????,
mtoa mfano ameeleza vzr ujumbe wake ufike vzr, hata hivyooo atakayebeba mapungufu ya mwenzako ni wewe, maana mazuri yake utayaenjoy pia.........., kulikoni uanze kuchoka tangu kipindi hiki cha kampeni?
Miss umeona eeenaona mdada anaikeshea kabisa.teh wenzie tunakeshea keybord yaani
keshajilaza hapo cente kwa raha zake kitu kinapumua ndani kwa ndaniMiss umeona eee
huyu jamaa atafika asubuhi kweli mwenzie kalala kwa raha yeye kitu kimelegea ndani kama anakata rohongumu kumeza
"Pillow talk" ishaisha watu wako sayari ya Mars ..... jamani wakubwa wanafaidikeshajilaza hapo cente kwa raha zake kitu kinapumua ndani kwa ndani
Speed ya huyo wa juu ni 32G H+ ..... wategemea kuna kufika asubuhi kweli hapohuyu jamaa atafika asubuhi kweli mwenzie kalala kwa raha yeye kitu kimelegea ndani kama anakata roho
Kila ninavoemdelea kusoma hii post akili Na nywele zanisismka hahahh sijui ndo upweke auView attachment 409836neno la mahaba kabisa hili. Unapolitamka hisia hukupeleka mahali fulani pa faragha kwenye kiza fulani chumbani kitandani ukiwa na mwenza wako na viguo vyepesi au tupu kabisa
Ni ngumu sana kwasasa kuielewa dhana nzima ya hii faragha, vijana wanakosa mengi siku hizi smart phones zimechukua nafasi adhimu kabisa ya pillow talk...na ndio maana siku hizi kuna # team popokwakweli kama chumbani kumekamilika ni ngumu kuikumbuka JF nite kali! Ukikuta mtu yuko live online usiku mwingi...huyo pillow talk ni msamiati uliojaa upweke
View attachment 409851pillow talk ina taratibu na kanuni zake
-shurti kuwe na chachandu la kumbatio ambalo si kindakindaki(kumbatio la hamu)
-hakikisha chumbani ni kusafi na kumepangika, kitanda kikipewa kipaumbele
-jua kwamba taa zifaazo chumbani ni zile zenye mwanga hafifu wa rangi hasa blue au nyekundu
-smart phone mwisho wake ni mlangoni, ukiingia ndani unazima au kuweka flight mode...ukishindwa kabisa weka silence mode
-majasho na harufu za ajabu ajabu za kutwa nzima hakikisha unaondoa zote kwa kuoga na kutakata
-unavaa pyjama na chupi kwani umeambiwa kwenu hapo?tupa kule uingie paradiso
-ndani chumbani hakikisha hakuna stress wala kesi za mchana kutwa..hayo yana muda wake
Kumbuka usiku chumbani pekeyenu ndio muda pekee mnaokuwa pamoja mbali kabisa na dunia..na ndio muda pekee wa kufurahiana pamoja hivyo usiichezee hii moment ni very very precious View attachment 409855# team popo poleni
Mi mwenyewe hapo nilirudia mara mbili mbili... daaah such a long night alone hereshurti kuwe na chachandu la kumbatio ambalo si kindakinda(kumbatio la hamu)
Upo vizuri kila sekta
Mi mwenyewe hapo nilirudia mara mbili mbili... daaah such a long night alone here
Yaani... nina upweke hapa nilipo mkuukumbe nawe pia huna wa kuku-pillow talk
Hahahaha...Kila ninavoemdelea kusoma hii post akili Na nywele zanisismka hahahh sijui ndo upweke au
Mi mwenyewe hapo nilirudia mara mbili mbili... daaah such a long night alone here
Yaani... nina upweke hapa nilipo mkuu
Hahahaha...
Uje...for pillow talk
He he he team popo mkalalekumbe nawe pia huna wa kuku-pillow talk
Yaani... nina upweke hapa nilipo mkuu
Pillow talk yetu ipo hapa...sister, no sleepHe he he team popo mkalale