niliwahi kujuta mara moja, kuna mdada huyo alikuwa anaonekana mkubwa kiumbo na hata mazungumzo yake yalikuwa yakikubwa, sasa si nikatupa mistari yangu ilinichukua saa kama nne hivi mpaka kwenye kukubaliwa..
Mbaya alinitamkia kuwa ni bikra,kati ya mambo yaliyonitesa kwenye balehe yangu ni mwanamke aniambie kuwa ni bikra.. nitakula nae sahani moja mpaka kieleweke..
Sasa huyo baada ya kuniambia hivyo nilikomaa nae sana.. siku anayokuja kunivulia pichu sikuamni macho yako yangu, she wasn't a virgin kidogo nimpasue.
sijawahi kufumania..
na nimesahau kukuambia nilikuwa sina uwezo wa kurun two girls at the same time, nikiwa na huyu, niachane na wa awali kwanza!!
Ha ha ha uuuuupsi dadadeki zake
Pole sana kwa kutumia nguvu na skills zako ukijua utakuwa first kwake
It seems umekata bikira nying wewe
Huenda gegedo lako lililala kwa mshtuko kwanza
Tukio gani linakutia uchungu au unajutia LA kimahusiano
Wasikilizaji na mnaofuatilia nakaribisha maswali machache kwa kiwatengu before sijafinga madaaaaa
Karibuni
we acha tu, alinidanganya..issue haikuwa kuwa wa kwanza coz nilianza kumverse hata kabla hajaniambia.. neno "mi ni bikra" lilikuwa kama catalyst tu!!
ha ha ha siyo nyingi bana..
siyo kama najutia au nasikia uchungu ni tukio la kusex bila kinga na binti wa chuo na akapata mimba..
Vzur ila ulikuwa mpit njia hit n run
Mapenz ya kugandana hakuna
Je unawashaur nn vijana wa kiume ukizingatia mapenz kwa sasa ndo yanarun dunia
mwenye swali aulize tu! nitamjibu!!
kiwatengu umesema partners uliokuwa nao zamani ni countless means ushaonja kila aina ya ufundi hii haikuletei shida katika mahusiano yako ya sasa
asante sana mdau,asante mnooooooNawashauri kutulia na kuacha tamaa..
Magonjwa lukuki now days..
wasichana wanawasabishia umaskini..
Hela inapatikana kwa wajasho then vijana wanaitoa tena kwa jasho..
Kuhonga ndiyo mwanzo wa kuchepuka.
Nawashauri vijana wasihonge!! Watengeneze maisha yao na kuwa na mke mmoja tu kama umri na uwezo unaruhusu..
mpenz wako ulimwambia idad ya wapenz uliokua nao kabla yake?,naye alikwambia???as long ulikua na msururu so alijiskiaje??kama ulimwambia
asante sana mdau,asante mnoooooo
na ulevi pia
ajali hiyo,
hata mie nimeiva hapo... Nialikeni.