Pilipili ya Akabanga yatinga US & Europe

Hii ni pilipili mbuzi ama?
Nimeiona supermarkets yaani Ulaya kama unaweza unawezeshwa lakini kwetu ni majanga ingawa tunaweza kufanikisha mengi.

Kila leo tunaimba badhaa zitu zipatiwe ufumbuzi, na wengi wanapita humu na kuisoma mijadala kama hii lakini walaaa
Kama yamerogwa

Tunaiga mambo ambayo haituingizii faida ila omba kibali cha kusafirisha MAEMBE yanayoozea chini ya miti usikie mziki wake.
Ofisi zaidi ya 10 halafu hupati kibali



Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Naitafuta mkuu,..naweza ipata supermarket ipi?
 
Mara mwisho kuitumia ilikuwa bulyanhulu kakola 2014 ni nzuri sana aisee na ni Kali sana
Nami nimeitumia muda kidogo ilinunuliwa kagera kwa huku dar sijajua naipata wapi,..kwa anayefahamu tafadhari msaada.
 
Wabongo tumebaki kujisifia Ligi za ulaya tu. Kazi/uzalishaji hamna kitu
 
Ni pilipili nzuri sana ila kuipitisha mpakani nikama bangi flani ini ushuru wake ni mkubwa kiasi kwamba ukiifikisha uku utalazimika kuuza kwa bei kubwa mfano ni hii chupa ndogo mil. 50 utainunua sh,700 ushuru sh, 500 utalazimika sh,2000/T.sh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rwanda sasa wanatuletea maharage mabichi. SIDO wapo, VETA wapo TANTRADE wapo. Wanazunguka na ma-V8 tu
 
"Mmachinga" toka Rwanda anaetengeneza pilipili maarufu "Akabanga" amefanikiwa kuipenyeza bidhaa yake kwenye masoko huko Marekani & Ulaya. Hapa Bongo tuna SIDO, VETA, TIRDO, Halmashauri kila kona na maafisa biashara na ushirika walionenepeana tu. Tunakwama wapi?
#Don't Hate, Be Inspired#
akabanga – From a Little secret to Great flavor
sisi tupenyeze tangawizi, asali na malimao mpaka hapo London Central Market
 
Ataeipenda akabanga achunguzwe akili ake,pilipili gani ukiweka inafunika ladha nzima ya chakula na kumuachia mlaji mateso mdomoni,inauwezo wa kufunika ladha ya pilau,biliani,mtori,kongoro,mchunga wenyewe husikii ladha yake ukiweka akabanga
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom