Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 5,009
- 9,208
Safi. Ngoja na mimi nipeleke miguu ya kuku.
Uongo kabisa huoWenzetu Kenya watoto wao wanapata maziwa lakini maziwa ya Lushoto yanadoda.
Kuna wakati unatamani kuwa MnyarwandaC
Chonde chonde mkuu! hapa kwetu tuna Bongo ukwaju na Bongo pilipili! please
Nataarifiwa hapa hizi pilipili zinaongeza ashki na dushe kuwa imara zaidiHii pilipili tamu sana mara ya kwanza nilijua hiz za kwetu mbagala niliona cha mtema kuni
Bosi tunalaumu serikali sisi tuko slow zambia wanauza sana uk pilipil na hata malaiwi wanayo NALI ndo imejaa hata s.market zetuSio jukumu la waziri tu mkuu hata mimi na wewe tunaweza kutengeneza bidhaa yetu.
Walaumu kwa sera maana ndiyo wazitungao.
Zambia na sisi hatuchekani ndugu. Wao pombe imewakaa kunako. Starehe kama hakuna keshoBosi tunalaumu serikali sisi tuko slow zambia wanauza sana uk pilipil na hata malaiwi wanayo NALI ndo imejaa hata s.market zetu
hata malawi alcohol wameweka mbele na imeharibu sana mataifa hayoZambia na sisi hatuchekani ndugu. Wao pombe imewakaa kunako. Starehe kama hakuna kesho
Chadema hayawahusu nyie maongezi yenu kudai demokrasia Na Uhuru wa kuhutubia Na kutetea ushoga mambo mazito kama haya ya masoko ya bidhaa kama pilipili nk tuachieni CCM tuyaongelee nyie Nendeni kuongelea mambo ya katiba hewa mpya Na mswada wa vyama vya siasaHizi lawama zinaangukia serikali ya chama cha mapinduzi au Chadema ?
Labda lakini yawezekana maana lugha za kibantu hutoa maana nyingi.Nimelazimika kucheka...! Hiyo lazima iwe hatari...mafuta ya pilipili....leo ndiyo nimejua pilipili inamafuta. Halafu utasia waafrika hatuwezi kugundua kitu. Hongera mgunduzi wa mafuta ya pilipili ya Akabanga.
===
Nikirudi kwenye post yako: Kama jina linaakisi sehemu inapolimwa...yaani Akabanga (neno la kibantu mlimani) utagundua mlimani maji hayatuami..utililika; kiasi fulani muda mwingi panaweza pakawa pamekauka...hivyo dhana ya kusema pilipili hiyo inalimwa sehemu yenye mawe mawe /pakame inaweza kuwa na mashiko.
Hili wazo lingefanyiwaga kazi tungepata vijana ambao ni watanzania vipanga na lingekuza Sana uchumi wa watu wanaoitwa wamachinga wa ng'ombeHongera kwao Akabanga. Sisi pamoja na kuwa na BODI YA MAZIWA lakini bado hayo maziwa hayanywewi shuleni