Pilipili ya Akabanga yatinga US & Europe

Pilipili ya Akabanga yatinga US & Europe

Nataarifiwa Akabanga imetinga Buckingham Palace. Sisi tumebaki tunabung'aa
 
Ikibidi sisi tuboreshe ile appetizer ya "MBILIMBi" tukauze Arabuni na America.
 
Huyo jamaa juhudi zake zinachangia asilimia kubwa, sasa wewe Mtanzania upo kwa mtogole unapiga ulabu halafu unawalalamikia SIDO eti hawajakuwezesha.
Mbona kuna watanzania wanauza bidhaa mbalimbali nje ya nchi kama vinyago,maua na bidhaa za kiutamaduni huko ughaibuni.
Watanzania mnapenda kubustiwa muda wote kama kuku wa kizungu.
PAMBANA NA HALI.
Well said indeed ...kongole mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo pilipili ni balaa.. kuna siku niliishika halafu nikamshika abdallah kichwa wazi... nilitamani kufa
Hahahaha yaani ukatamani kufa kabisa?
Mimi ningetamani kufa ningekufa tu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Acha uboga mkuu, mazingira wezeshi kwa Tanzania ndiyo kikwazo kikuu. Kwa Tanzania mpaka kutoa bidhaa kama hiyo process yake unaweza kwenda mbinguni kwa mguu na kurudi ila ukakuta bado hawajakufikiria
Hizo bidhaa kapelekewa Na serikali , halmashauri au Maofisa biashara huko Ulaya? Tanzania wako mabilionea akina bakhresa ambao hata Rwanda hawapatikani Na wauza biashara nje je wametajirishwa Na serikali , halmashauri au Maofisa biashara?Wewe mleta mada kaa ukisubiribiri serikali,halmashauri ,mawaziri au Maofisa biashara utakufa maskini ukinya umaskini jiongeze pambana Na hali yako.Utaunadije faida biashara,waziri au maafisa halmashauri ambao maisha yao yote hawajawahi hata kuuza Karanga watusaidie biashara yako!!!! Huyo mnyarwanda hongera zake kapambana Na bidhaa yake hadi imeingia ulaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni pilipili mbuzi ama?
Nimeiona supermarkets yaani Ulaya kama unaweza unawezeshwa lakini kwetu ni majanga ingawa tunaweza kufanikisha mengi.

Kila leo tunaimba badhaa zitu zipatiwe ufumbuzi, na wengi wanapita humu na kuisoma mijadala kama hii lakini walaaa
Kama yamerogwa

Tunaiga mambo ambayo haituingizii faida ila omba kibali cha kusafirisha MAEMBE yanayoozea chini ya miti usikie mziki wake.
Ofisi zaidi ya 10 halafu hupati kibali



Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Tujitahid watanzania. Tumebarikiwa kila kitu ila kutwa kulalama
 
Rwanda inejikita sana kwenye exports . Rwanda imejipanga kuwa hub ya Wataalamu wabobezi wa fani nyeti kama uinjinia wa fani mbalimbali za aina zote ,udaktari ,nk . Rwanda ina export wasomi wengi mno na serikali inasomesha sana Wataalamu wa fani . Wanyarwanda wasomi Kagame wote anataka wawe internationally certified akiwa ni daktari Rwanda wabataka asome afanye mitihani ya kimataifa ya kuwa certified kwa gharama za serikali.Nenda taaisisi zozote zinazotoa international certification course za fani utakutana Na Wanyarwanda wamekuwa sponsored na serikali kusoma wanasoma hasa..Rwanda kuna international certified wengi kuliko nchi yeyote ya Afrika mashariki Na kati . Anafanya hivyo kujenga soko la ajira la kimataifa linaloingiza pesa za kigeni.Sababu hao watu wengi wanapata ajira nje ya nchi na makampuni ya kimataifa Na taaisisi za kimataifa ambazo hulipa pesa za kigeni hivyo kufanya Wanyarwanda kuwa na pesa nyingi za kigeni kuliko za Rwanda.Pili Rwanda imejikita kwenye exports drive ambapo hata mkulima mdogo aweza uza mazao au bidhaa online popote duniani . Mradi ajisajili . Kwa hiyo wana export sana vitu hata vidogo kama vikapu nk Tanzania tuna doctors,engineers, walimu wa sayansi wengi wako idle kazi hawana tinawaacha tu hao ni exportable product tukiiandaa vizuri . Wakati wa kuwaza tu kahawa,korosho Na pamba kuwa ndio exportable products umepitwa Na wakati .Vichwa vyenye akili ni moja ya exports Dunia ya leo.Ndio maana Marekani hata mtoto wa bilionea Billy Gates akiwa na akili sana serikali inaamua kumsomesha yenyewe.Sababu ni hazina ya nchi .Hapa mtoto hata awe top ten Na aenda kusoma udakitari,uinjinia au masomo ya sayansi atajijua Na hata mkopo kupata aweza kosa.Kama nchi tumekalia tu kuangalia traditional exports tulizoachiwa Na mkoloni.Alituachia chai,kahawa,nk tumekomalia kukodolea macho hapo tu!!!! Rwanda wameenda beyond.
Rwanda ni Israel ya afrika mashariki
 
Ingekuwa Tanzania, baada ya pilipili kupata soko ulaya na US. Jeshi lingeingilia kati kukusanya pilipili zote nchini kasha liuze kumpa sifa rais wetu.
 
Back
Top Bottom