Jeiwii watauza korosho malekani na uropaSio jukumu la waziri tu mkuu hata mimi na wewe tunaweza kutengeneza bidhaa yetu.
Walaumu kwa sera maana ndiyo wazitungao.
Hata wewe ukiamua kupeleka itauzika tu.Haijalishi aliyepeleka ila Akabanga inauzika US, UK, France na Germany
Mlishajaribu ikashindikanaTumeshindwa kupeleka hata Unga wa ulezi??
Rwanda inejikita sana kwenye exports . Rwanda imejipanga kuwa hub ya Wataalamu wabobezi wa fani nyeti kama uinjinia wa fani mbalimbali za aina zote ,udaktari ,nk . Rwanda ina export wasomi wengi mno na serikali inasomesha sana Wataalamu wa fani . Wanyarwanda wasomi Kagame wote anataka wawe internationally certified akiwa ni daktari Rwanda wabataka asome afanye mitihani ya kimataifa ya kuwa certified kwa gharama za serikali.Nenda taaisisi zozote zinazotoa international certification course za fani utakutana Na Wanyarwanda wamekuwa sponsored na serikali kusoma wanasoma hasa..Rwanda kuna international certified wengi kuliko nchi yeyote ya Afrika mashariki Na kati . Anafanya hivyo kujenga soko la ajira la kimataifa linaloingiza pesa za kigeni.Sababu hao watu wengi wanapata ajira nje ya nchi na makampuni ya kimataifa Na taaisisi za kimataifa ambazo hulipa pesa za kigeni hivyo kufanya Wanyarwanda kuwa na pesa nyingi za kigeni kuliko za Rwanda.Pili Rwanda imejikita kwenye exports drive ambapo hata mkulima mdogo aweza uza mazao au bidhaa online popote duniani . Mradi ajisajili . Kwa hiyo wana export sana vitu hata vidogo kama vikapu nk Tanzania tuna doctors,engineers, walimu wa sayansi wengi wako idle kazi hawana tinawaacha tu hao ni exportable product tukiiandaa vizuri . Wakati wa kuwaza tu kahawa,korosho Na pamba kuwa ndio exportable products umepitwa Na wakati .Vichwa vyenye akili ni moja ya exports Dunia ya leo.Ndio maana Marekani hata mtoto wa bilionea Billy Gates akiwa na akili sana serikali inaamua kumsomesha yenyewe.Sababu ni hazina ya nchi .Hapa mtoto hata awe top ten Na aenda kusoma udakitari,uinjinia au masomo ya sayansi atajijua Na hata mkopo kupata aweza kosa.Kama nchi tumekalia tu kuangalia traditional exports tulizoachiwa Na mkoloni.Alituachia chai,kahawa,nk tumekomalia kukodolea macho hapo tu!!!! Rwanda wameenda beyond.Tunakwama wapi?
Hivi ilikuwaje tuliweza kunywa chai ya maziwa na mikate kila siku na nyama kila siku na ubwabwa? Wakati huo kahawa ilikuwa na soko, katani, pamba tuna viwanda lukuki. Sasa sijui kilichobadilika nini?Mola tunusuru.
Mnukio wake ulikuchanganya mkuu...[emoji23][emoji23]..!!..maana inanukia balaa.hiyo pilipili ni balaa.. kuna siku niliishika halafu nikamshika abdallah kichwa wazi... nilitamani kufa
Sivyo hivyo tu, hata chakula kilikuwa first class. Nyama kila siku, chai ya maziwa na mkate, Nyama na ubwabwa na samaki kila Ijumaa sisi tuliosoma kando ya Lake Victoria.Kumbe Mchonga alifanya mengi makubwa! Hakika he was a GREAT LEADER. Mola ampe pumziko jema
Pengine zama za kubana bana matumiz zimeathiri pakubwa sekta hiyo. Ndo maana tunazalisha mabomu jitu lina Masters ya Mzumbe au UDOM halijui hata kuandika proposalHivi ilikuwaje tuliweza kunywa chai ya maziwa na mikate kila siku na nyama kila siku na ubwabwa? Wakati huo kahawa ilikuwa na soko, katani, pamba tuna viwanda lukuki. Sasa sijui kilichobadilika nini?
Nyerere alijua jinsi ya kula na vipofu. Alisema misaada na mikopo inahatarisha uhuru wetu lakini aliendelea kwenda kuomba walimu toka nje ambao walitufunza vizuri. He wanted to invest in Education and Industries ambazo alijenga nyingi tu sasa ni Magofu. Je ng'ombe tulionao sasa, tungekuwa nao wakati wa Tanzania Parkers tungekuwa wapi? Nasikia kulikuwa na kiwanda kingine kilianzishwa kanda ya ziwa au kati ta nyama. Vyote vililiwa. Tulipewa unga toka USA, vitabu toka Scandnavian countries and UK. Hao hao ndo tunawatukana tunakimbilia kwa wachina ambao sana sana walijenga reli ya Tazara na pipe ya mafuta kwenda Zambia. Tuliishia kuogea sabuni za Fung fung. Kila kitu kilikuwa cha kichina. Ilibidi tununue kwao kulipa deni.Pengine zama za kubana bana matumiz zimeathiri pakubwa sekta hiyo. Ndo maana tunazalisha mabomu jitu lina Masters ya Mzumbe au UDOM halijui hata kuandika proposal
Hizi lawama zinaangukia serikali ya chama cha mapinduzi au Chadema ?Rwanda inejikita sana kwenye exports . Rwanda imejipanga kuwa hub ya Wataalamu wabobezi wa fani nyeti kama uinjinia wa fani mbalimbali za aina zote ,udaktari ,nk . Rwanda ina export wasomi wengi mno na serikali inasomesha sana Wataalamu wa fani . Wanyarwanda wasomi Kagame wote anataka wawe internationally certified akiwa ni daktari Rwanda wabataka asome afanye mitihani ya kimataifa ya kuwa certified kwa gharama za serikali.Nenda taaisisi zozote zinazotoa international certification course za fani utakutana Na Wanyarwanda wamekuwa sponsored na serikali kusoma wanasoma hasa..Rwanda kuna international certified wengi kuliko nchi yeyote ya Afrika mashariki Na kati . Anafanya hivyo kujenga soko la ajira la kimataifa linaloingiza pesa za kigeni.Sababu hao watu wengi wanapata ajira nje ya nchi na makampuni ya kimataifa Na taaisisi za kimataifa ambazo hulipa pesa za kigeni hivyo kufanya Wanyarwanda kuwa na pesa nyingi za kigeni kuliko za Rwanda.Pili Rwanda imejikita kwenye exports drive ambapo hata mkulima mdogo aweza uza mazao au bidhaa online popote duniani . Mradi ajisajili . Kwa hiyo wana export sana vitu hata vidogo kama vikapu nk Tanzania tuna doctors,engineers, walimu wa sayansi wengi wako idle kazi hawana tinawaacha tu hao ni exportable product tukiiandaa vizuri . Wakati wa kuwaza tu kahawa,korosho Na pamba kuwa ndio exportable products umepitwa Na wakati .Vichwa vyenye akili ni moja ya exports Dunia ya leo.Ndio maana Marekani hata mtoto wa bilionea Billy Gates akiwa na akili sana serikali inaamua kumsomesha yenyewe.Sababu ni hazina ya nchi .Hapa mtoto hata awe top ten Na aenda kusoma udakitari,uinjinia au masoko ya sayansi atajijua Na hata mkopo kupata aweza kosa.Kama nchi tumekalia tu kuangalia traditional exports tulizoachiwa Na mkoloni.Alituachia chai,kahawa,nk tumekomalia kukodolea macho hapo tu!!!! Rwanda wameenda beyond.
Hiyo itakuwa imelimwa juu ya mwamba ama sehemu za mawe mawe na imevunwa wakati wa kiangaziHiyo Akabanga nimeiona Leeds Market mwaka juzi. Tone moja tu unahaha.
wachumi wetu wabobezi na wale wabobezi wa masuala ya masoko?..... au ... ?
mpaka umeifikisha ulaya ushapigwa makodi kibaoSio jukumu la waziri tu mkuu hata mimi na wewe tunaweza kutengeneza bidhaa yetu.
Walaumu kwa sera maana ndiyo wazitungao.
Rwanda ni tifu tifu na mvua za kule ni almost mwaka mzima. Hiyo pilipili inaitwa huku kwetu pilipi kichaa. Vifupi lakini wee halafu wanaextract mafuta yake siyo pilipili as you know it. Imagine mafuta toka hiyo pili pili. Vichupa vyake kama dawa ya macho. Vidogo.Hiyo itakuwa imelimwa juu ya mwamba ama sehemu za mawe mawe na imevunwa wakati wa kiangazi
Nimelazimika kucheka...! Hiyo lazima iwe hatari...mafuta ya pilipili....leo ndiyo nimejua pilipili inamafuta. Halafu utasia waafrika hatuwezi kugundua kitu. Hongera mgunduzi wa mafuta ya pilipili ya Akabanga.Imagine mafuta toka hiyo pili pili. Vichupa vyake kama dawa ya macho.
"Mmachinga" toka Rwanda anaetengeneza pilipili maarufu "Akabanga" amefanikiwa kuipenyeza bidhaa yake kwenye masoko huko Marekani & Ulaya. Hapa Bongo tuna SIDO, VETA, TIRDO, Halmashauri kila kona na maafisa biashara na ushirika walionenepeana tu.
#Don't Hate, Be Inspired#
akabanga – From a Little secret to Great flavor