Pilipili ya Akabanga yatinga US & Europe

Pilipili ya Akabanga yatinga US & Europe

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,229
Reaction score
39,715
"Mmachinga" toka Rwanda anaetengeneza pilipili maarufu "Akabanga" amefanikiwa kuipenyeza bidhaa yake kwenye masoko huko Marekani & Ulaya. Hapa Bongo tuna SIDO, VETA, TIRDO, Halmashauri kila kona na maafisa biashara na ushirika walionenepeana tu. Tunakwama wapi?
#Don't Hate, Be Inspired#
akabanga – From a Little secret to Great flavor
 

Attachments

  • download.jpg
    download.jpg
    2.8 KB · Views: 199
  • South-South-Banner-image.jpg
    South-South-Banner-image.jpg
    207.1 KB · Views: 21
"Mmachinga" toka Rwanda anaetengeneza pilipili maarufu "Akabanga" amefanikiwa kuipenyeza bidhaa yake kwenye masoko huko Marekani & Ulaya. Hap Bongo tuna SIDO, VETA, TIRDO, Halmashauri kila kona na maafisa biashara na ushirika walionenepeana tu
Sio jukumu la waziri tu mkuu hata mimi na wewe tunaweza kutengeneza bidhaa yetu.


Walaumu kwa sera maana ndiyo wazitungao.
 
Stupid, wao watuuzie mitumba sisi tuwapelekee pilipili? Labda pilipili za mtumba kama wanataka
 
Back
Top Bottom