Pilau la ukweli

Pilau la ukweli

Ile foleni kule nyuma sasa

attachment.php
 
Naona umeweka mtego wa magamba,ukiwa hiyo kitu kwa vijana wa CCM ukawawekea na nyama za kutosha loo! kwisha habari yao,wewe kazi yako kuwajaza ktk malori na kuwamwaga m/yanga
 
Itakuwa ni kwenye mkutano wa ccm, Ndo huwa tunapata takrima ya hivi..
 
Hii itakuwa takrima ya kile chama kipya aisee, ya ccm wakina Ritz huwa wanachakachua nyama zoteee.
Itakuwa ni kwenye mkutano wa ccm, Ndo huwa tunapata takrima ya hivi..
 
Last edited by a moderator:
Hapo sheikh anapokaa kula mbupu zote nje!kwi kwi...!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom