Pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story tu?

Jackpiano

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2025
Posts
530
Reaction score
650
Wakuu hivi zile pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story za watu wenye experienc mje mtoe ushuhuda na je zile bm150 gear 4 zilikua balaa kuzidi izi boxer HD 125 na HD 150 za sasa
 
Hiyo geae 4 inatoka Tukuyu mpaka Tanga,ni noma
 
Back
Top Bottom