DZUDZUKU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 3,931
- 2,141
Salam.
Wandugu, nipo mbeya sina utaalamu na idea kwenye vyombo vya Moto.
Nimepasua KIBUBU changu ambacho nilihifadhia pesa ya kununulia piki piki ya kwenda nayo kwenye mizunguko mbali mbali ya kimaisha.
Nina kama sh. Million 2, je ni piki piki ipi itanifaa?
Naombeni ushauri wenu,natanguliza shukrani kwenu.