Piki piki bora yenye bei nafuu

Piki piki bora yenye bei nafuu

Unaweza kujaribu Platina.

Ni nzuri, zina speed, comfotable, fuel consuption ni nzuri.
 
Mkuu kwa ushauri nunua Honda 125 huwa ziko poa sana ni soundless, inatembea unavyotaka,pia ni imara kwa parts zake kila vifaa vyake kama itatokea ukaharibu maybe ajali spare ziko juu kidogo kuliko pkpk zilizozoeleka za kichina,na unaweza kutembea safari ndefu bila kuchoka kwa kuwa haina vibration maana pkpk nyingi za kichina unapoendesha kila unapovuta wese vibration mpaka pum_u zinauma ila kwa Honda ni raha tupu mkuu,ukiichukua leta majibu hapa.

Nashukuru ndugu kwa ushauri wa kiafya ( vibration)

Price yAke ikoje?
 
Sijajua kwasasa hazitofautiani na boxer jipinde uichukue mkuu
 
Chukua TVS mkuu hutajutia kwa sababu;-
1 inatembea 70km/Lita mara karibu 2 ya pikipiki za kichina .
2. Kioo cha taa kubwa ya mbele ni gorilla glass ambayo haipasuki kwa urahisi ukilinganisha na aina nyingine za pikipiki
3. Eksozi yake hata ikiingiliwa maji ikiwa umepita sehemu yenye maji mengi haizimiki kabisa
4. Tank lake linauwezo wa kubeba mafuta Lita 14 huku Lita 2 zikiwa ni za rizevu.
Taa za indicator zimeshikiliwa na aina fulani ya mpira tofauti za pikipiki nyingine ambazo zimeshikiliwa kwa chuma ambapo ikitokea ajali unajua nini kitatokea.
5. Kiki yake umaweza kutumia hata kwa mkono na bado injini ikawaka japo kuna switch ya kubonyeza
6 spea zake ni ghali zaidi kuliko pikipiki za kichina japo zinadumu sana.
7. Bei yake niliambiwa mimi ni 2.2mil lakini muuzaji aliniambia anaweza kunifikiria.

Kwa Hayo machache hata mimi nilifikia uamuzi wa kuichukua hii mashine na kwa kuku shauri chukua hiyo kitu hutajutia na hivi umesema ni kwa matumizi binafsi basi itakuwa ni furaha tupu
 
Asante ndugu,unaweza kunirushia kapicha?
 
Yeah TVS ni pikipiki nzuri......haina tofauti sana na boxer......zote from same company.....Bajaj.
 
Asante ndugu,unaweza kunirushia kapicha?

Mkuu TVS na boxer ni same company (Bajaj India) na hata bei zinalingana. Ukipata TVS ni nzuri sana inadumu na petrol consumption ni reasonable.
 
Nashukuru kwa ushauri.
 
Mkuu kwa ushauri nunua Honda 125 huwa ziko poa sana ni soundless, inatembea unavyotaka,pia ni imara kwa parts zake kila vifaa vyake kama itatokea ukaharibu maybe ajali spare ziko juu kidogo kuliko pkpk zilizozoeleka za kichina,na unaweza kutembea safari ndefu bila kuchoka kwa kuwa haina vibration maana pkpk nyingi za kichina unapoendesha kila unapovuta wese vibration mpaka pum_u zinauma ila kwa Honda ni raha tupu mkuu,ukiichukua leta majibu hapa.

Mkuu fuata ushauri huu. Nina uzoefu na boxer, sunlg na fekon. Hakika zote hizo hazioni ndani kwa Honda. Hautojuta kununua Honda, usidanganyike na mchina au mhindi. Kitu cha mjapan (Honda) ndio mpango mzima
 
Mchina ametukamata kwenye bei mkuu.

I want low cost maximum benefit.
 
Nunua GSM 125 price yake ni 1.7 M hadi 1.6 me, hutajutia uamuzi wako, inanguvu ya ajabu unapanda kitonga na namba 4 hadi 5. Fuel consumption haipishani sana na boxer, pia spare zake ni cheap kuliko nyingine. Other benefits: Iko very comfortable inapita njia yoyote, ukinunua spare yake utaibadilisha baada ya mwaka au miezi mingi tu. Period!

Ndo zile akina Rizi nini??.
 
Skymark na Hero ziko poa mkuuu hata mie natumia skymark kwenda kwenye misele yangu
 
ninayo honda ace 125 aloooo napangua km si mchezo.Ila unaweza gonga haina mlio mkubwa
 
naomba bei za wanazouza hizi aina ya pkpk kwa dar
skymark
sun lg
boxer
fekon
kinglion
tbetter
 
Skymark na Hero ziko poa mkuuu hata mie natumia skymark kwenda kwenye misele yangu

Kuna mtu aliniambia Hero ni nyepesi sana,kiufundi/utaalam sijui anamaana gani.
 
Mkuu Honda ni nzuri sana but kulingana na bei yako hutofika kwakuwa Honda ni 2.8 lakini kwa ushauri wangu chukua YAMAHA oil consapation
Is very low cz ni YAMAHA ni cc105 hiyo ni sawa na lita 1 kwa km 80. So yangu nihaya
 
Nashukuru kwa ushauri ndugu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom