inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 635
- 705
ninayo moja,ni hatari
Ushauri wako ni mzuri sana ndugu yangu.Ukitaka kununua pikipiki angalia......
1.Mnunuzi una umri gani???
Hapa utachagua pikipiki ambayo inamuonekano na umri wako,mfano,kijana ni mtu wa show off (katalogi) hapo boxer ndio sahihi.
Kama ni mzee nunua hayo ma tvs.
2.Mazingira unayoishi...
Kama upo vijijini nunua sanLg,fekon,toyo,king lion na zinginezo zenye muundo huo kwa sababu
(i) Zaitakusaidia kubebea
Mizigo hasa magunia
ya mazao mashambani.
(ii) Mafundi wake wapo
kila mahali hasa vijijini
hata baadhi ya mafundi
wa baiskeli saizi
wengine wanazirekebis
ha hizi zikiharibika.
Kama upo mjini nunua boxer maana kwanza ni nzuri kimuonekano,hutoonekana kama ms**u*ku*m!!!
Pia mafundi wa boxer mjini wapo wengi tu.
Katika kila maelezo yangu hapo juu boxer bm 150 a.k.a mnyama imetisha .
Siwez kununua fekon eti ya kulia bata hata siku moja.
Acha kukurupuka kojoa rudi kulala tena...nunua shamba ulime shamba ulime
Hero safi sana mkuu, hususan kwenye ulaji wa mafuta pia ina selfstart inawaka bila kuvuta mafuta ina umbo zuri ni pikipiki nzuri kwa matumiz binafsi, ila kwa biashara si nzuri sana pia Hero ina mwonekano mzuri pamoja na kuwepo kisanduku maalumu kwa ajili ya kutunzia document zako haina mitikisiko ya ajabu imetulia shock up safi kabisa inadumu kwa muda mrefu kikubwa kuzingatia vipindi vya service na matumizi ya oil nzuri kama Bp, Total, Mogas hzi ni miongoni mwa oil nzuri zaidi kwa chombo chako.Asante ndugu kwa mchango wako.
Kuna pk pk zimeandikwa SKYMARK au HERO zipo kama boxer, unazionaje?
Kampuni ya bajaji haitengenezi bajaj za Tvs wala pikipiki za Tvs, hizi ni kampuni mbili tofauti kampuni ya bajaji inatengeneza bajaji aina ya RE almaarufu kama Four. Tvs na Bajaj RE ni Tofauti.Boxer ni pikipiki bora pia consumption yake ya petrol ni ndogo sana sana. Hauta umia katika hili. Pia boxer inadumu kwasababu imetengenezwa kwa uimara. Boxer inatengenezwa na company inayotengeneza bajaj za TVS. Pia kwa speed si mchezo man.
Ila angalizo......spare za boxer ni expensive kama wewe si mtunzaji.
Ongeza chapaa kidogo uchukue chuma usitembee kwa mguu kijana.......changamka.
honda ni nzuri ila bei yake inaanzia 2.8 m, boxer 125 kwa bajet yako inatoshaAsante ndugu.
Kwa nini iwe boxer na sio Honda and the like?
Au kwa nini Kinglion na sio Fekon and the like?