Pika bomu

Pika bomu

NDESSA

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2013
Posts
1,946
Reaction score
1,800
Wakuu kama kuna mtu huwa anafuatilia hiki kipindi cha Pika bomu cha Startv jumatatu kimetulia sana na mwendeshaji wake mzee Ndashau,ni cha kibunifu na kinaburudisha.
 
Ahsante kwa taarifa..
 
Wakuu kama kuna mtu huwa anafuatilia hiki kipindi cha Pika bomu cha Startv jumatatu kimetulia sana na mwendeshaji wake mzee Ndashau,ni cha kibunifu na kinaburudisha.

tatizo wanaludia matukio..
 
Lile tangazo la viungo vya mwili bandia lilinifurahisha sana.
 
Watu wanasema duniani wawili wawili. Kuna mwalimu mmoja pale DIT anafanana sana na Ndashau sana. Nilicheka sana nilipo kutana naye pale DIT.
 
Back
Top Bottom