Ana madhara
Halafu wewe Magonjwa mtambuka mbona una ujinga sana kichwani? Hivi isingekuwa upinzani hii jitihada ya serikali angalau kuwajibika kwa wananchi ingekuwepo? Mnaoombea upinzani ufutike nadhani kichwani mwenu mmejaza makamasi tu. Bila upinzani hata hii hapa kazi tu isingekuwepo.
Si ndio Mwenyekiti wa CDMKila Siku ni Mbowe,Mbowe
Haya maneno hayakusaidii kitu.Tatizo ni pale Kodi yako na ya mama yako inapotumika kununulia madiwani wewe punga 1 unafurahia huku JF
Taifa la [emoji230][emoji230]
Kama hana lolote,kwanini the whole administration plus using government apparatus is lining up to fight him?Who is the f****** mbowe? He is just a little rat eating Sacco's cheese!!
Kwani yeye ni wa kwanza?Diwani Muro kajitoa na kuelekea NCCR. Msikilize anavyomkoromea Mbowe na Halima Mdee.
Nimfahamu nimpeleke wapi to begin with?Wewe ni aina ya kina mdude tu! Humfahamu mtu unayemsema
Aligombea Udiwani sababu ana IQ ndogo hana clout ya kugombea Ubunge,full stop!Muro aligombea udiwani kwasababu ya UKAWA! Tangu yuko CCM hakuwahi kuwaza kugombea udiwani
Aliachwa sababu hana akili wala hana mtaji kisiasa zaidi ya Mtulia.Alikuwa ni candidate sahihi wa kinondoni mwaka 2015 lakini CUF wakalalamika ndio ikabidi aachiwe Mtulia
Boniface ana power zaidi ya hiyo takataka mara elfu moja,not even close!Lakini kwa usaliti uleule wa viongozi aliousema wakamsaliti wakampa Boniface (my class mate) na kwasababu alikuwa mgeni kwenye chama na aliuamini uwezo wa Boniface, alikubali na akamsapoti
Chadema kuna meritocracy,huna akili za kutosha hupati lolote,mimi nimekuja leo nina akili nyingi na uwezo mkubwa zaidi yako wewe mbumbumbu napanda zaidi yako,unalialia nenda huko CCM....Kuna watu ndani ya chadema wanahisi wao ndio chadema na chadema ni wao hivyo hawako tayari kuona mwingine anakua zaidi yao
Aende anakoenda,who cares about him?Ubungo na Kinandoni vilipogawanywa, akagombea umeya wa kinondoni lakini chama hakikumpa sapoti stahiki hadi CCM wakaweza kuiba kura (usaliti wa viongozi) na hata mahakamani walienda kutimiza wajibu tu
Huna akili ya kumfundisha Mbowe chochote!Kifupi baadhi ya waliokuzwa na Mbowe hawahangaiki kuibua vipaji badala yake wanahangaika kutafuta mashabiki wa kuwapigia makofi na kutukana wanaowakosoa. Wanaogopa kuibua vipaji kwasababu wanaogopa kupewa challenge. Kutwa kucha wanahangaika kutengeneza mashabaki mwisho wa siku chama kitakosa wajenga hoja na yatakuwa yale yale ya ndioooo ambayo tunayaona CCM
Haka kautaratibu ka watu kuunga mkono juhudi kalipamba moto mda ule chaguzi zinafanyika, kakasimama. Sasa karibu na uchaguzi 2020 kameibuka tena, na sasa hivi "chumba cha wageni", kwa lugha ya kibeberu "guest house", ni NCCR. Tayari Mbatia kaingia "biashara" na Magufuli, kama zile biashara na Lyatonga wa TLP.Mtabaki kujifaragua hivyo hivyo wakati lichama linazidi kuporomoka.
Unajua kum fight mtu au unakariri kwa lipi? Aache kujaribu kupimana abavu na dola hakuanza yeye huu uhanithi mrema lipumba maalim waliufanya na walishindwa nae dj anashindwa Kama waliotanguliaKama hana lolote,kwanini the whole administration plus using government apparatus is lining up to fight him?
Kama hana lolote mngekua mpo vijijini huko mnafungua na kusimamia miradi kutimiza ilani yenu,lakini wote mpo Dar na Dodoma vikao usiku na mchana kupambana na Mbowe!
This shows Mbowe is Michael Jordan of this shit,no one among yourselves can play chess with him!
Y'all are just dummies to him!
Michael Jordan my ass? Maybe we can call him lover boyKama hana lolote,kwanini the whole administration plus using government apparatus is lining up to fight him?
Kama hana lolote mngekua mpo vijijini huko mnafungua na kusimamia miradi kutimiza ilani yenu,lakini wote mpo Dar na Dodoma vikao usiku na mchana kupambana na Mbowe!
This shows Mbowe is Michael Jordan of this shit,no one among yourselves can play chess with him!
Y'all are just dummies to him!
Thibitisha madai yako....Tayari Mbatia kaingia "biashara" na Magufuli, kama zile biashara na Lyatonga wa TLP....
Mbona wenyewe kwa wenyewe mnapigana vita vichwani mwenu zitawatosha kweli ? ndio maana msimamo wngu ni kurudishiwa MAGAVANA tu wote mnaendeshwa na njaa chuki juu watu weusi wenzenu hkn mwenye Nia njema na nchi hiyo kati yenu...Mbowe anazidi kubamizwa.
Unamwambia nani?Mbona wenyewe kwa wenyewe mnapigana vita vichwani mwenu zitawatosha kweli ? ndio maana msimamo wngu ni kurudishiwa MAGAVANA tu wote mnaendeshwa na njaa chuki juu watu weusi wenzenu hkn mwenye Nia njema na nchi hiyo kati yenu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe pamoja na wasanii wenzio iwe yule wa kigoma mjini awe wa hai au Arusha Mjini hata yule wa Mtama ni wasanii tu km wasanii wengine tu...Unamwambia nani?
Bahati mbaya uliyonayo ni kudhani matusi na maneno ya shombo ni mbadala wa kujibu hoja na kutetea unachokiaminiNimfahamu nimpeleke wapi to begin with?
He is nobody,hana hela hana akili,he is useless just like me!
Aligombea Udiwani sababu ana IQ ndogo hana clout ya kugombea Ubunge,full stop!
Mengine sijui aliamua and blah blah ni nonsense tupu!
Aliachwa sababu hana akili wala hana mtaji kisiasa zaidi ya Mtulia.
Eti "walilia" awaachia,peleka sababu ya kitoto huko!
Iliangaliwa yeye na Mtulia,Mtulia kamzido vitu vingi ndio maana kaachwa hana lolote compared to him!
Boniface ana power zaidi ya hiyo takataka mara elfu moja,not even close!
Futa hiyo mbuzi irudi kwenye mediocre leagues,he has nothing,IQ wala lolote...saw him talking garbages tupu!
Chadema kuna meritocracy,huna akili za kutosha hupati lolote,mimi nimekuja leo nina akili nyingi na uwezo mkubwa zaidi yako wewe mbumbumbu napanda zaidi yako,unalialia nenda huko CCM....
Mtu wako ni kilaza,deal with it...
Aende anakoenda,who cares about him?
Hana akili,IQ yake ya siasa ni ndogo,nimemuona akiongea makande matupu...
Huna akili ya kumfundisha Mbowe chochote!
Ungekua na akili sana zaidi ya Mbowe ungekua na Chama Cha Siasa chenye power zaidi ya CDM,huna lolote umekaa kibarazani kama mimi tunapoteza muda tu!
Keep huo ushauri for yourself and your fellow dummies who have nothing...Mbowe has done something,you cant take that away from him!
Thats why the whole administration is fearing him!
Muro who?
Eti pigo kaondoka waridi kaburu,slaa, Lowasa sembuse dagaaMbowe anazidi kubamizwa.