Pigo la pili kwa Mwigulu ndani ya wiki moja

Pigo la pili kwa Mwigulu ndani ya wiki moja

RWAMAIGI

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
361
Reaction score
105
Harakati za kijana mwenye uchu sana na madaraka zimeendelea kukumbwa na mapigo makubwa kutokana na ya chama chakeCHAMA CHA MAGAMBA.Pigo la kwanza nile alipopigwa stop ya kuzunguka mikoani kwa nembo yachama chao na Kinana,na la pili ni kutokumbukwa kupewa u-WAZIRI kamili na Kikwete.Kwa mapigo haya ni dhairi kuwa sasa ndoto zake za kuutafuta urais wa nchi hii zinazidi kuota mbawa.
 
unajua watu wanaweza kukupongeza kwa mabaya alaf baadae usiaminike tena,mwigulu ni mcheza siasa haramu za kigaidi,alaf anataka urais mtu anayeamin upinzan ni uasi!eboh si ataua watu!!!kwanza chama chake kinamjua kua ni mcheza ugaidi hvyo hafai hata kupewa uwazir kamili!!siasa za mwigulu si za ushndan bali za kigadafi!!"
 
hiki ni kinyesi kingine humu. unamaanisha na akina january makamba et al nao wamepata pigo? acha bangi zinawaharibu vijana. hamuoni hata cha maana cha kupost humu.

Harakati za kijana mwenye uchu sana na madaraka zimeendelea kukumbwa na mapigo makubwa kutokana na ya chama chakeCHAMA CHA MAGAMBA.Pigo la kwanza nile alipopigwa stop ya kuzunguka mikoani kwa nembo yachama chao na Kinana,na la pili ni kutokumbukwa kupewa u-WAZIRI kamili na Kikwete.Kwa mapigo haya ni dhairi kuwa sasa ndoto zake za kuutafuta urais wa nchi hii zinazidi kuota mbawa.
 
Akaungane na Zitto waanzishe chama chao huku kwa magamba kashakwishwa
 
Kweli Mwigulu ni mshenzi hajui demokrasia ya vyama vingi akafie mbele huko.
 
Harakati za kijana mwenye
uchu sana na madaraka zimeendelea kukumbwa na mapigo makubwa kutokana
na ya chama chakeCHAMA CHA MAGAMBA.Pigo la kwanza nile alipopigwa stop
ya kuzunguka mikoani kwa nembo yachama chao na Kinana,na la pili ni
kutokumbukwa kupewa u-WAZIRI kamili na Kikwete.Kwa mapigo haya ni dhairi
kuwa sasa ndoto zake za kuutafuta urais wa nchi hii zinazidi kuota
mbawa.

Mwigulu bado anakubalika na kwamba kuzuiwa kwake hakujaathiri umaarufu wake
 
Back
Top Bottom