Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,890
- 27,386
Niliwaambia mapema pro Hillary and Democratic kwamba hizi kashfa dhidi ya trump nyingine huibuliwa na wanaomtaka Trump. Niliwaambia pigo kubwa kabisa kwenye kambi ya Hillary linakuja kutokea dakika za mwisho kabisa na nikawaonya kuwa Wikiliks na Snowden ni projects zilizoandaliwa kitambo sana kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu.Najiuliza kama FBI wakikuta kwamba kweli alituma nyaraka za siri kwenye barua pepe binafsi uchaguzi utaendelea kweli?
Halafu kwa hali ya Mashariki ya kati ilivyo kweli kutakuwa na ahueni chini ya utawala wa huyu mama?
Hata Obama naamini ipo siku atakuja kusoma Hillary Hakufaa.Mbali na huyu mama Hillary Clinton kushambuliwa na Wiki-leaks kuhusiana na barua pepe; Donald Trump kuhusiana na rushwa; FBI kuanzisha tena uchunguzi wa barua pepe, ya leo kali na imetoka Israeli. Mwandishi wa habari mwenye asili ya kiyahudi Eli Chomsky amsema kwamba alitunza maongezi aliyofanya na Hillary Clinton mwaka 2006.
Kwenye maongezi hayo Hillary anasikika akisema kwamba anashangaa kwanini Marekani haijaingilia uchaguzi wa bunge la nchi ya Palestina. Zaidi zaidi anasema kwamba Marekani ingeifanya juu chini kumfanya nani ashinde na nani asishinde. Kwa maana nyingine alikuwa anauliza kwanini nchi ya Marekani haijachakachua matokeo ya nchi nyingine ya watu.
Hili linatuleta kwenye ule usemi wa Donald Trump kwamba huu uchaguzi umechakachuliwa.
Hata kama Hillary aliongea kwa kutoa tu maoni yake basi hii imekula kwake na imemchafua sana. Kwa namna moja au nyingine inaonyesha kwamba Hillary Clinton hataki amani na haki ya Wapalestina kuhusu haki yao ya utaifa ifanikiwe. Kwa maana ya pili tena hata ule uvumi wa Wiki-leaks unaosema kwamba Podesta na viongozi wengine walimhujumu Bernie Sanders ili Hillary apitishwe unaanza kuthibitika.
Kibaya ziadi ni kwamba video ilifichwa kwa zaidi ya miaka 10 na wanahabari hao waliambiwa na serikali ya Israeli wasichapishe hicho alichokisema. Kwa bahati mbaya sana leo wameivujisha hewani na inazunguka kwenye mitandao na vyombo vya habari vikubwa kuanzia RT, Observer, Foxnews n.k Hillary hata kama atashinda uraisi basi atakuwa na wakati mgumu sana kuliko raisi yoyote yule tangu Skandali ya Watergate. Sidhani kama mgogoro wa Mashariki ya kati utatengamaa, wale waarabu hawawezi msikiliza huyu mama.
Sauti ipo kwenye Link ya Observer: 2006 Audio Emerges of Hillary Clinton Proposing Rigging Palestine Election
Link: 2006 Audio Emerges Of Hillary Clinton Proposing Rigging Palestine Election
Link: Clinton bemoans US not rigging 2006 Palestinian election in newly-released tape
Unadhani US ni kama bongo...wenzetu dakika kubwa hawakawii kubadilika...this game is not over...tusubiri hadi last point
AhsanteeeeeNa Qaddafi naye sitaki kumsikia kabisa maana askari wake walishirikiana na Amin kuwaua ndugu zetu wa Kagera
Niliwaambia mapema pro Hillary and Democratic kwamba hizi kashfa dhidi ya trump nyingine huibuliwa na wanaomtaka Trump. Niliwaambia pigo kubwa kabisa kwenye kambi ya Hillary linakuja kutokea dakika za mwisho kabisa na nikawaonya kuwa Wikiliks na Snowden ni projects zilizoandaliwa kitambo sana kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu.
Kwa kifupi uchaguzi wa mwaka huu si wa kumrithi Obama tu, Bali Marekani wanafanya transitioning kubwa ya power kutoka hawa elites wa zama hizi kwa ajili ya Ku reform America na Ku review american interests kama bado zipo valid kuwa American Interests.
Ni mageuko hayo tumeshuhudia kwa mara ya kwanza rais wa Marekani aki side na mgombea mmoja....hats wale wanaofaidika na interest za Sasa wakiungana pamoja si kumpinga Trump tumuanaye Bali anacho kiwakirisha Trump.
America inaingia kwenye transitioning kubwa sana, na ili kufanikiwa italazimika kuuachia 'ugalme' ili wakajipange.
Acha porojo za vijiweni weweNiliwaambia mapema pro Hillary and Democratic kwamba hizi kashfa dhidi ya trump nyingine huibuliwa na wanaomtaka Trump. Niliwaambia pigo kubwa kabisa kwenye kambi ya Hillary linakuja kutokea dakika za mwisho kabisa na nikawaonya kuwa Wikiliks na Snowden ni projects zilizoandaliwa kitambo sana kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu.
Kwa kifupi uchaguzi wa mwaka huu si wa kumrithi Obama tu, Bali Marekani wanafanya transitioning kubwa ya power kutoka hawa elites wa zama hizi kwa ajili ya Ku reform America na Ku review american interests kama bado zipo valid kuwa American Interests.
Ni mageuko hayo tumeshuhudia kwa mara ya kwanza rais wa Marekani aki side na mgombea mmoja....hats wale wanaofaidika na interest za Sasa wakiungana pamoja si kumpinga Trump tumuanaye Bali anacho kiwakirisha Trump.
America inaingia kwenye transitioning kubwa sana, na ili kufanikiwa italazimika kuuachia 'ugalme' ili wakajipange.
Ni kweli, siku moja inaweza kubadili mambo kabsaaUSA sio TZ dungu subiri filimbi ya mwisho.
Nampenda sana trumph but naona amekata tamaaaTrump ashinde tu...Hillary is too corrupt and a big time lier!
Bora huyo mbabe na mtukutu kuliko huyo demu hata simpendi.USA mwaka huu ni ama wachague asiye mwaminifu Clinton au Mbabe Trump. Ni hilo tu.
Hii game ishakamilika Hillary anasubiri January aapishwe....
Nionapo siyo uonapo, naona uonapo. Endelea na habari zako, ila jifunze kwa wenzako, usiishie kuwafahamu Clinton na Trump kwa sura zao.Acha porojo za vijiweni wewe
Hoja hujibiwa kwa hoja na wewe Toa hoja sio mipasho mtoto wa kiumeAcha porojo za vijiweni wewe
Unadhani US ni kama bongo...wenzetu dakika kubwa hawakawii kubadilika...this game is not over...tusubiri hadi last point
Umenena vema Malcom Lumumba; hongera sana kwa kurejesha avatar yako asili, safi sana.Mbali na huyu mama Hillary Clinton kushambuliwa na Wiki-leaks kuhusiana na barua pepe; Donald Trump kuhusiana na rushwa; FBI kuanzisha tena uchunguzi wa barua pepe, ya leo kali na imetoka Israeli. Mwandishi wa habari mwenye asili ya kiyahudi Eli Chomsky amsema kwamba alitunza maongezi aliyofanya na Hillary Clinton mwaka 2006.