Pigo la Mwisho kwa Hillary Clinton

Pigo la Mwisho kwa Hillary Clinton

HELA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2015
Posts
200
Reaction score
192
FBI wafungua uchunguzi juu ya email zake kuhusishwa na uchunguzi wa kesi ya maswala ya mapenzi ya Anthony Wiener ambae alikuwa ni mtu wa karibu wa Hillary kipindi akiwa secretary of the state pamoja na harakati zake za kuwanaia urasi wa marekani.

Hatua hii imeongeza nguvu kwenye madai Trump kuwa Hillary anatakiwa kushtakiwa na endapo akishinda lazima Hillary afanyiwe uchunguzi wa kina na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria
ATTACH]

Trump alishawahi kuonya juu ya mahusiano ya kikazi ya Hillary na Anthony
1477689585095.jpg

Nadhani hii itasadia kwa kiasi fulani kumbeba Trump ambae hadi sasa polls zinaonesha kuwa yupo nyuma ya Clinton kwa wastani wa Point 4-5
 
Clinton nearly doubles lead over Trump in latest CNBC survey

https://www.yahoo.com/finance/news/clinton-nearly-doubles-lead-over-113222740.html

With only a dozen days to go before the election, Democratic nominee Hillary Clintonhas ratcheted up her lead over Republican nominee Donald Trump to 9 points, according to the latest CNBC All-America Economic Survey , nearly doubling her advantage from the last poll.

After weeks and months of what many Republican strategists called verbal and strategic missteps by Trump, and despite potentially ruinous revelations from leaked Clinton campaign emails, the Democrat leads the Republican nominee by 46 percent to 37 percent among registered voters in a two-way race and by the same margin among likely voters. In June, Clinton led by just 5 points

Kwakweli hapa ni kusubiri matokeo kwani kila mgombeaji anajua jinsi ya kucheza na hizi polls......
 
1477695184294.jpg

Hawa ABC siku ya jumatatu walisema Trump yupo nyuma 12 points.... Ijumaa wakasema 4 points
Hapo hapo katika sample data wanasema democrats walikuwa +9 zaidi ya republican...
 
FBI wafungua uchunguzi juu ya email zake kuhusishwa na uchunguzi wa kesi ya maswala ya mapenzi ya Anthony Wiener ambae alikuwa ni mtu wa karibu wa Hillary kipindi akiwa secretary of the state pamoja na harakati zake za kuwanaia urasi wa marekani.

Hatua hii imeongeza nguvu kwenye madai Trump kuwa Hillary anatakiwa kushtakiwa na endapo akishinda lazima Hillary afanyiwe uchunguzi wa kina na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria
ATTACH]

Trump alishawahi kuonya juu ya mahusiano ya kikazi ya Hillary na Anthony
View attachment 425860

Nadhani hii itasadia kwa kiasi fulani kumbeba Trump ambae hadi sasa polls zinaonesha kuwa yupo nyuma ya Clinton kwa wastani wa Point 4-5

Pole sana, wamechelewa sana, the election is already in the bag, there is nothing the Donald can do to change that at this stage
 
Hii game ishakamilika Hillary anasubiri January aapishwe....
 
Mwaka huu yani ingelikuwa inawezekana wangeli hairisha tu uchaguzi! Yeyote watakaye mchagua inakula kwao..

Lakini bora ya kichaa Trump kuliko huyu mama kibaraka Hillary! Huyu atatugharimu Dunia nzima..
 
Mbali na huyu mama Hillary Clinton kushambuliwa na Wiki-leaks kuhusiana na barua pepe; Donald Trump kuhusiana na rushwa; FBI kuanzisha tena uchunguzi wa barua pepe, ya leo kali na imetoka Israeli. Mwandishi wa habari mwenye asili ya kiyahudi Eli Chomsky amsema kwamba alitunza maongezi aliyofanya na Hillary Clinton mwaka 2006.

Kwenye maongezi hayo Hillary anasikika akisema kwamba anashangaa kwanini Marekani haijaingilia uchaguzi wa bunge la nchi ya Palestina. Zaidi zaidi anasema kwamba Marekani ingeifanya juu chini kumfanya nani ashinde na nani asishinde. Kwa maana nyingine alikuwa anauliza kwanini nchi ya Marekani haijachakachua matokeo ya nchi nyingine ya watu.

Hili linatuleta kwenye ule usemi wa Donald Trump kwamba huu uchaguzi umechakachuliwa.
Hata kama Hillary aliongea kwa kutoa tu maoni yake basi hii imekula kwake na imemchafua sana. Kwa namna moja au nyingine inaonyesha kwamba Hillary Clinton hataki amani na haki ya Wapalestina kuhusu haki yao ya utaifa ifanikiwe. Kwa maana ya pili tena hata ule uvumi wa Wiki-leaks unaosema kwamba Podesta na viongozi wengine walimhujumu Bernie Sanders ili Hillary apitishwe unaanza kuthibitika.

Kibaya ziadi ni kwamba video ilifichwa kwa zaidi ya miaka 10 na wanahabari hao waliambiwa na serikali ya Israeli wasichapishe hicho alichokisema. Kwa bahati mbaya sana leo wameivujisha hewani na inazunguka kwenye mitandao na vyombo vya habari vikubwa kuanzia RT, Observer, Foxnews n.k Hillary hata kama atashinda uraisi basi atakuwa na wakati mgumu sana kuliko raisi yoyote yule tangu Skandali ya Watergate. Sidhani kama mgogoro wa Mashariki ya kati utatengamaa, wale waarabu hawawezi msikiliza huyu mama.

Sauti ipo kwenye Link ya Observer: 2006 Audio Emerges of Hillary Clinton Proposing Rigging Palestine Election

Link: 2006 Audio Emerges Of Hillary Clinton Proposing Rigging Palestine Election

Link: Clinton bemoans US not rigging 2006 Palestinian election in newly-released tape
 
huyu Bibi alishiriki kumuua Qaddafi sitaki hata kumuona

Najiuliza kama FBI wakikuta kwamba kweli alituma nyaraka za siri kwenye barua pepe binafsi uchaguzi utaendelea kweli?
Halafu kwa hali ya Mashariki ya kati ilivyo kweli kutakuwa na ahueni chini ya utawala wa huyu mama?
 
Na Qaddafi naye sitaki kumsikia kabisa maana askari wake walishirikiana na Amin kuwaua ndugu zetu wa Kagera

Hujakosea kabisa mkuu, maamuzi ya Qaddafi na Wapalestina yalimezwa na minajili ya kidini kuliko uhalisia wa kisiasa.
Japo muungwana siku zote huwa anakubali makosa na kutubu; Qaddafi aliyafanya haya kwa mzee Nyarere.
 
Back
Top Bottom