Elevenn
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 9,484
- 18,740
Konyagi napata wapi😅😅, sukutua hata na konyagi harufu na vimelea vyote vinakata na kufa
Konyagi napata wapi😅😅, sukutua hata na konyagi harufu na vimelea vyote vinakata na kufa
Sasa bakteria mdomoni kuna mwenye uwezo wa kuwamaliza? Yaani karafuu imalize zaidi ya aina 700 za bakteria waliomo mdomoni!!Hakuna cha busta wala nini miyeyusho tuu wanadai wanaua bacteria wa mdomoni wengine wanadai ni tiba ya mwili
Konyagi inasafisha mpaka Figo, sembuse mabaki ya kwenye meno tu bwasheeVipi mabaki ya chakula katikati ya meno..? Au konyagi itapenya hadi huko
BarKonyagi napata wapi
Nimekwambia huo uwezo wa kunyanyua mguu kutoka kitandani sina.
Na kwazikaTena watumie ule mswaki wa mti a.k.a mnaa!!
Ulikuwa ujui aukumbe wanaonuka vitunguu hawapigi mswaki aaaaah!
Basi wewe na maiti tofauti yenu ni wewe bado hawajakuzika tuNimekwambia huo uwezo wa kunyanyua mguu kutoka kitandani sina.
Yaan keroo mswaki kupiga kuna chukua mda ganiSaivi imekuwa trend vijana wanaamka na karafuu 😡😡 basi tafuna hata punje mbili kisha sukutua wao kutwa nzima
Konyagi kwenye moja na mbili kabisa?Konyagi inasafisha mpaka Figo, sembuse mabaki ya kwenye meno tu bwashee
Yaan ina kuwa mbayaa sanaAngalau akipiga mswaki... Mixer la vitunguu na karafuu harufu lake balaa!
Plus na harufu ya mdomYani hivyo vitunguu inatakiwa wale halafu wapigwe mswaki ndo watafune karafuu kiukweli wanakeraa..
Kitunguu iwe maji/Swaum vina harufu kali sana ya kukera
Na kwazika sana bas tuUpo kama mimi mkuu, sipendi hiyo harufu ya mtu aliyetafuna vitunguu swaumu
Mwambie apige mswaki hiyo kitu ana tafuna mdomo ndio una zidi kunukaUmenikumbusha kuna jamaa kila siku asubuh anakujaga akinukia kama pilau kumbe anakula viungo tofautitofauti 🤣🤣
yeah! Ukituuliza tunasema pilau la jana bado linatoa mihalufu.Ulikuwa ujui au
Iloo nalo neno jashoo lina kuwa kalii sanUbaya wa vitunguu swaumu hata ukimeza punje tatu kila siku lazima jasho lako lianze kutoa harufu ya vitunguu
Sana hii keroooNilijua Ina nikera Mimi tu ,
Kumbe tupo wengi waache kabisa
DahMimi nimeishajikatia tamaa siwezi hata kutoka kitandani sembuse kupiga mswaki?
Ndio bwasheee 😂Haya tumekusikia tutapiga mswaki