Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,312
- Thread starter
- #41
Uvivu tuu hawajui wana kera watuyeah! Ukituuliza tunasema pilau la jana bado linatoa mihalufu.
Uvivu tuu hawajui wana kera watuyeah! Ukituuliza tunasema pilau la jana bado linatoa mihalufu.
Why!
Ubazazi tuu jamaa, mswaki 2000 dawa ya meno ni 3000 lakini wahuni wanakata mwezi mdomo haujaenda car washSasa bakteria mdomoni kuna mwenye uwezo wa kuwamaliza? Yaani karafuu imalize zaidi ya aina 700 za bakteria waliomo mdomoni!!
😄😃😀
Ahahahh tuvumilienWanaume wanaongoza kwa kunuka midomo!
Mtu meno ya njano yana ukoko kabisa
Wanawake saivi mmeshika kasi, romance zinaenda kuwa adimuWanaume wanaongoza kwa kunuka midomo!
Mtu meno ya njano yana ukoko kabisa
Wanasema tiba ya nguvu za kiumeAisee,hizo karafuu na vitunguu vinasaidia Nini?
Au kana kwambia hayakuhusu!Uvivu tuu hawajui wana kera watu
Uanaume kazi...Wanaume wanaongoza kwa kunuka midomo!
Mtu meno ya njano yana ukoko kabisa
Kuna watu wengine sio kwamba hawapigi mswaki kwa kupenda ila maisha yamewaburuza
Nguvu Nguvu NguvuWanasema tiba ya nguvu za kiume
tushirikishane jinsi ya kushauri mtu mwenye changamoto hii kiustaarabu bila kumfedheheshaMtu una acha kupiga mswaki una kazi ya kutafuna vitunguu saumu asubuhii na karafuu mdomo una anza kunuka kitunguu saumu aseee pigeni mswaki wengine hiyo harufu ya kitunguu ina kera sana hasa ikitoka mdomoni mwa binadamu
Wala sio jasho peke yake.......Ubaya wa vitunguu swaumu hata ukimeza punje tatu kila siku lazima jasho lako lianze kutoa harufu ya vitunguu
Inategemeana na kazi unayofanya!Kuna watu wengine sio kwamba hawapigi mswaki kwa kupenda ila maisha yamewaburuza
Daaaah,vijana wa daslam Wana KAZI sana.Wanasema tiba ya nguvu za kiume
Mpaka madimba, choo kinanuka kama sufuria lapilau ambalo halijalowekwa 😀😀😀Wala sio jasho peke yake.......
Aisee,kitunguu swaumukina harufu kali sanaMpaka madimba, choo kinanuka kama sufuria lapilau ambalo halijalowekwa 😀😀😀
😀😃😄Ubazazi tuu jamaa, mswaki 2000 dawa ya meno ni 3000 lakini wahuni wanakata mwezi mdomo haujaenda car wash
Una mwelekeza kwa upole sana una muazia mbali una muulizaa hivi ww huna jino lilitoboka af ndio una endeleatushirikishane jinsi ya kushauri mtu mwenye changamoto hii kiustaarabu bila kumfedhehesha