O29
Member
- May 30, 2026
- 91
- 194
Wapige mswaki
Dini Fulani , imekemea juu ya kitunguu swaumu , yaani ukila chakula au vitu vilivyonakshiwa na kitunguu swaumu, hakikisha unapiga mswaki vizuri kabla haujaenda kwenye ibada, kama ukienda ivyo ivyo unakuwa kero na itapelekea kuwafanya wengine wasiwe watulivu kwenye ibada juu ya harufu hizo kali