Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 175,380
- 193,346
Dah!! Tatizo sijawahi kukutana wa namna hiyo...Ukikutana na ke ana harufu mbaya mdomoni utafanyeje lo???
Dah!! Tatizo sijawahi kukutana wa namna hiyo...Ukikutana na ke ana harufu mbaya mdomoni utafanyeje lo???
Ikitokea je??? UtafanyejeDah!! Tatizo sijawahi kukutana wa namna hiyo...
Sii mnasemaga mapenzi ni upofu, kwa huyu shubiri kwa yule utamu...Ikitokea je??? Utafanyeje
Hio itakua chungu aseeee!!!Sii mnasemaga mapenzi ni upofu, kwa huyu shubiri kwa yule utamu...
Hivi wanawake pia wananukaga midomo? Sijawahi kuona...Hio itakua chungu aseeee!!!
Itakua wapoo.. au kwa mwongozo zaidi wacha tumuulize mtoa.Hivi wanawake pia wananukaga midomo? Sijawahi kuona...