[emoji23][emoji23][emoji23]Alichofanya Bash ni kumpiga take chura na sasa chura karejea mtoni na keshaanza kelele ambazo zinamkera mwenye mjengo wake!
Ajitahidi tu kuziba masikio maana ana uzoefu huo wa kuziba masikio hata Kama anapigiwa kelele kiasi gani!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Bashite ni kisheti tu yule hana lolote alinitibua sana ile siku anaongea mashudu yake mbele pale .....haha nadhani ameona jinsi gani watu tunaona piere ni mtu muhimu kuliko yeye .......aliko aibu imemjaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi naomba tutafte vtmyeti vya shule vya Bashire na Piere tujue nani 0.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka sasa Pierre 3 na Bashite 0 yaani huyu Bashite hapendwi na watu kabisa. Halafu maisha ni process huyu jamaa kuna process nyingi hajapitia ndio maana amekuwa mshamba sana mbele ya watu waliostaarabika na kwenye maarifa ya hali juu.
#Bashite_Chini_kama_kandambili
#Pierre_uko_juu_kama_Airbus
Sent using Jamii Forums mobile app