Picture za base ya US iliopigwa na Iran

Picture za base ya US iliopigwa na Iran

[emoji1313][emoji1313][emoji1313]
FB_IMG_1578572419439.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana vijana wa vatkan munachokolewa sana madafu kwa kupenda maji.
 
Kwa taarifa fupi tu,matokeo ya Trump kuichokoza Iran mpk sasa ni haya hapa:

1. Baraza la Wawakilishi kupiga kura kudhibiti uwezo wa Trump kuanzisha vita.

2.Washirika wa US pale iraq(Canada,Romania,Croatia,Germany,Italy,UK imebakiza wanajeshi 400 tu) wameyaondoa majeshi yao na kuyapeleka Kuwait.,sababu ya mziki wa Iran wa juzi.

3.Iran imevunja mkataba wa Nuclear na itaendelea kurutubisha madini ya nuclear bila shida.

4.Trump alipiga mkwara mzito kwamba Iran iki-relatiate na ikaharibu mali za US lazima ipewe kichapo heavy,mbona imeharibu military base,helicopters za US) na US imefyata?

5.Nasubiri nione ni nchi gani pale middle East ambayo itaruhusu US a-launch mashambulizi yake kwenda Iran,hakuna nchi hata 1 itaruhusu ujinga huo maana inajua kifuatacho.

Lastly,US ni cowards na ndio maana Trump amefunga domo lake kule Twitter baada ya kichapo.

Mkuu ngoja nikupe ishu..

USA hawezi kwenda vitani kwa sababu ndogo kama ile.

Dunia ingemtenga, saivi anatafuta sababu ya maana ndomana pamoja na kujifanya kutafuta suluhu hushangai anaongeza askari na silaha mashariki ya pwani???

Fumbua macho aisee

Sent using Jamii Forums mobile app

dodge
 
Hizi ndo sababu zinazotafutwa kumfanya IRAN tha bad guy halafu ndo apigwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah US anatafuta sababu tangu 1979 mpk leo hajazipata sio?

US mwoga kinyama,zile nchi za kiboya ndo hua anajifanya kuziwekea NO FLY ZONE halafu anaanza kutoa kichapo mbona kwa Iran juzi hajafanya hivyo ili aone shughuli inavyokua.

dodge
 
Alikia anajifunza shabaha kapiga off target unalipua base za kijeshi halafu hakuna aliyepata mchubuko?

It's Scars
Ww unafikir USA angesema ukweli? Kaamua kunyamaza kimya ili kuficha aibu maana kwa tambo alizokuwa anajitamba Trump halafu unapigwa kwenye kambi zako wakat huo anayekupiga amekutaarifu kuwa ntakuja kupiga mbaya zaidi umejitapa kuwa una jeshi bora na intelligence bora halafu unapigwa Mara moja kwanini asifiche kuwa hajapigwa?

Huko wenzako wanafarakana wana laumiana Trump analaumiwa na bunge lake na kapigwa marufuku kujiamlia mambo ya vita..
Achana na mwarabu, ogopa sana mtu mzima anatoa hivi halafu ukabaki salama

View attachment 1318322

Sent using Jamii Forums mobile app
Iran ni muongo na mwanzo nilivyosema kua huyu jamaa anacheza na majukwaa mkajua natania leo hii amekiro mwenyewe kua hakuna mtu aliyejuruhiwa katika shambulio lake huko iraq

Sasa jiulize kwanini alitoa ripot za uongo kua ameangamiza wanajeshi 80

Trump aliposema kua iran imerudi nyuma, hakusema kwa kukurupuka
 
Back
Top Bottom