The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,444
Mwanaume unatumia opera min!
Mwanaume unatumia opera min!
Mwanaume unatumia opera min!
Ahaha...Mwanamke unatumia nini?
dodge
Mwishowe atatumia mini sket....anapenda vimini sana uyuMwanaume unatumia opera min!
Mkuu hapo mi sina neno...ngoja aku'ngate'!Mwishowe atatumia mini sket....anapenda vimini sana uyu
Kama vimini anavyovaa mzee wako.Mwishowe atatumia mini sket....anapenda vimini sana uyu
Mimi ndo naye kuambia kua napiga mwenyewe achana naye huyoGoogle pics nyingi ukidownload haziji quality...au kuna mbinu gan?
Kama vimini anavyovaa mzee wako.
dodge
Inawezekana maana kuna sehemu uchebe alipigwa ya mbao
Mimi ndo naye kuambia kua napiga mwenyewe achana naye huyo
Usisahau hizo hapo zinakuumbua.Mimi ndo naye kuambia kua napiga mwenyewe achana naye huyo
Vita ya iran na marekani ndio imeleta effect hadi huku bongo kiasi kwamba mnatukanana??Hahah mzee wangu anavaa suti yake swafi....mzee wako sio mvaa mini yule?ndo aliokushauri utumie na iyo mini opera na anaekuhamasisha uvae ndala
Hahah mzee wangu anavaa suti yake swafi....mzee wako sio mvaa mini yule?ndo aliokushauri utumie na iyo mini opera na anaekuhamasisha uvae ndala
Wewe ndio zinakuumbua, unafikiri kila mtu anahifadhi picha zake kwenye disk?
Vita ya iran na marekani ndio imeleta effect hadi huku bongo kiasi kwamba mnatukanana??
Bado mtaendelea kumlaumu trump kwa kutuita shitholes?
Hahah ma group ya FB ni hatari sana,hebu nipe majina ya ma group mawili ya huko FB nijiunge nayo nianze ku download mapicha ya mandege.Wewe ndio zinakuumbua, unafikiri kila mtu anahifadhi picha zake kwenye disk?
Nakupa faida hata wewe leo hii ukipiga picha yako, ukaihifadhi fb then ukai download lazima ije na hizo code
Ulisema Trump aliwahi kuugua akili, lakini pamoja na tatizo lake hajawahi fikia kufanya tatizo kama hili mnalolifanya nyinyi ambao mko timamuMi hata opermin ya dingi ako akiileta naichakata tu.
dodge
Downlod kupitia mimi, ila usitegemee kukuta kidege chochote cha iran hapa maana bora nipost zile boeing zetu na bombadiaHahah ma group ya FB ni hatari sana,hebu nipe majina ya ma group mawili ya huko FB nijiunge nayo nianze ku download mapicha ya mandege.
dodge