duu wee Steve Dii umenifanya niloff in nimechekaje hapo kwenye red... idea ni pouwa, lakini kumbukeni tu angalizo la kudeal na yatokanayo/yaambatanayo kisaikolojia! Maaana kuna washiriki wengine hujitokeza kwa ajili ya kucheck vimo na rangi za watu tu.
... baada ya safari washiriki wasifedheheke kukutana na thread zinazosema mbona wanaJF wengi wafupi sana na wanamacho mekundu!!
Safi tunashukuru Mungu. Shemeji yangu hajambo?
hahahahahahhah mimi nitalala na.....
Wasalimie nkomolo
Mimi....
Mkuu Nkomolo unapajua? Kalibu sana mi niko Msunkumilo jirani na mzee Mweupe tunalima miwa, kalibu sana
Mweupe jina la mtu au sifa?
for a week? kwa 40,000 tsh tu?
bora aiseee maana nahisi patakua hapatoshi
Mkuu Nkomolo unapajua? Kalibu sana mi niko Msunkumilo jirani na mzee Mweupe tunalima miwa, kalibu sana
Mkuu kumbe unafuatiliaga comment zangu? Mzee Mweupe ni mtu maarufu sana hapa Namanyele, ni jina kama lako lile la kwenye cheti
Asante nitakaribia tena
umenifurahishajeNimecheka sana Matola.
for a week? kwa 40,000 tsh tu?
Je yeye akizimika flag??!!!
Na hivi ni porini, atachukuliwa na ukizingua unakula nakoz!!!!
We jiandae naye kwa kishirikiana na yeye awe katika mood basi huo ndio muafaka la sivyo ntachukua namba na kuja kumalizana naye kitaa!!!!