Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,550
- 3,092
Anetaka kula chura ale, kwani viti moto nani huwa anawachinjia?
Sikujua kuwa NCHINI Sasa kuna MABUCHA ya WAKRISTO na WAISLAMU... Tunaiharibu NCHI sisi wenyewe... ni kwanini hatujaribu angalau kupata MISAADA ya USULUHISHI TOKA NJE?
Au MPAKA tumwage DAMU???
Hiyo ndio Serikali zetu inavyotaka nyinyi Wananchi wenyewe kwa wenyewe Wakristo na Waislam Mugombane kwa sababu za kipuuzi Serikali kwao ndio furaha maana ukitakata kuwatawala Wananchi lazima wawe ni wajinga . Badala ya kugombania Maendeleo ya nchi Eti mnagombana mambo ya kuchinja Ahh kweli sisi Wa-Danganyika ni Watu wajinga sana nngu007Sikujua kuwa NCHINI Sasa kuna MABUCHA ya WAKRISTO na WAISLAMU... Tunaiharibu NCHI sisi wenyewe... ni kwanini hatujaribu angalau kupata MISAADA ya USULUHISHI TOKA NJE?
Au MPAKA tumwage DAMU???
Wa kwanza kabisa kukamatwa alitakiwa awe Steven Wassira kwani wakati mgogoro huu unaanza kule Kanda ya Ziwa hakuwajibika kuutatua zaidi ya kuuchochea na kuufanya uenee hadi katika maeneo mengine nchini.
Ndugu yangu tayari kuna mabenki ya waislamu na wakristo, kuna maduka ya bidhaa za waislamu "halal" na yale yenye bidhaa za watu wa kawaida ' makafir'. Kuna mgawanyo katika mambo mengi sana katika ajira, nafasi za mashule ya juu, bodi za mikopo, n,k Hoja kila mara ni kuwa kila kitu kiwe nusu kwa nusu. Timu ya taifa nusu kwa nusu, wakuu wa wilaya, mawaziri, kamati kuu za vyama na sasa ni zamu ya mabucha nayo nusu kwa nusu!!!!!
Me hata i dont care nani kachinja! Mradi ipikwe vizuri na iwe salama!
Watz naona tunatingisha kiberiti...
mwambie huyo,Amana Bank ina wateja wasio waislam ingawa benki ni ya kiislamKwa swala la mabenki hata nchi za ulaya yapo, waislam kula riba ni haramu. Hata hivyo katika mabenki hayo hata wakristo ni kati ya Customers wakubwa.
Sikujua kuwa NCHINI Sasa kuna MABUCHA ya WAKRISTO na WAISLAMU... Tunaiharibu NCHI sisi wenyewe... ni kwanini hatujaribu angalau kupata MISAADA ya USULUHISHI TOKA NJE?
Au MPAKA tumwage DAMU???
Huu ni upuuzi wa serikali kulealea mambo ya hovyohovyo,kitu gani kinachoshindikana kama Rais kutoa tamko na kila mtu akatekeleza hata kama wengine watakuwa hawakubaliani nalo?Natamanai ningepewa nafasi ya kuwa Rais japo kwa siku mbili tu.
Sikujua kuwa NCHINI Sasa kuna MABUCHA ya WAKRISTO na WAISLAMU...