malema 1989
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 1,323
- 530
Unfortunately, wakristo,hasa wale wanaoshika dini vya kutosha, hawaiamini kabisa kuran. Naongea kwasababu mimi nilishawahi kuwa mkristo conservative sana pamoja na kwamba siku hizi nimekuwa liberal kidogo. TUNACHOFUNDISHWA MAKANISANI, na tunachoamini wakristo dunia nzima ni kwamba, kuran si kitabu kisafi, ni kitabu cha shetani, na alah si Mungu wa kweli, ni mungu shetani aliyekuja kuipinga Biblia Neno la Mungu. wakristo wanaamini kuran ni chafu kwasababu ndani yake inaruhusu hata kufuga majini, wanaweza kumwombea mtu al badir akafa, mashehe ndio wengi waganga wa kienyeji na wauza madawa ya kienyeji, na mashehe dunia nzima huogopwa kwa nguvu za giza. HIVYO NDIVYO WAKRISTO WANAVYOAMINI TANGU ENZI, NA NDIVYO TUNAVYOFUNDISHWA.
TATIZO LINAKUJA WAPI? pale tukiwa tumehubiriwa mahubiri kama haya, halafu wakagundua kuwa MISTARI YA KURAN inatumika kuchinja nyama, that means, nyama nzima imechinjwa kwa koran ambayo wao wanaamini si kitabu kitakatifu, hivyo nyama yote imechafuka, pengine imeingizwa majini ya kuran etc, this is what most of christians have in their minds, hata mimi nilikuwa na akili kama hii pamoja na kwamba kwa sasa niko liberal, naweza kula tu bila shida kwa kuiombea.
KATIKA mazingira kama hayo, PINDA akija na kusema wenye haki kuchinja ni waislam tu, baadhi ya wakristo ni vigumu kuelewa. cha muhimu hapa ni kuwaweka chini viongozi wote wa kikristo na kiislam tujadili, kama haiwezekani BASI TUCHINJE KWA MASHINE KAMA ILIVYO ULAYA, SAUDI ARABIA NA NCHI ZA KIISLAM, mbona huko hawachini wanadamu zinachinja mashine na waislam wanakula tu na ni waislam walioweka mashine hizo zichije?....ni tz peke yake ambayo waislam wanayo sole right kuchinja,. nenda kenya, nenda south africa, malawi, drc etc,....ni tz peke yake.
kutawaliwa kunaanza taratibu, waumini wa dini yetu ndiyo wenye haki ya kuchinja pekee, baadae dini yetu ndiyo yenye haki ya kutoa rahisi pekee, dini yetu ndiyo inayotakiwa kongoza nchi kwa kutumia mahakma ya kadhi, tunahaki ya kujiunga na oic mwisho ukristo unaangamizwa!

