PICHANI: SAKATA la Kugombea Kuchinja Lazusha Balaa TUNDUMA

PICHANI: SAKATA la Kugombea Kuchinja Lazusha Balaa TUNDUMA

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,803
WEDNESDAY, APRIL 3, 2013



[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hii ndiyo hali halisi ya Mji mdogo wa Tunduma leo kuanzia asubuhi[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

​

​

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Matairi yanachomwa katikati ya barabara[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

​

​

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mambo hayo [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
​

​

​

​

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwandishi wa Mbeya yetu pamoja na waandishi wenzake walipata shida sana kufika mji wa Tunduma walikutana na vikwazo vingi sana lakini wananchi walikuwa waelewa waliwasaidia kutoa magogo na matairi ili wapite wakapate habari[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

​

​

​

​

​

​

​

​

​

​

​

​

​

​

​

​

​

​

​

​

​

​

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Diwani akiongea na waandishi wa habari[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Wanafunzi wakisindikizwa na jeshi la polisi kurudi majumbani mwao[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

​

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Polisi wakiendelea kazi yao katika mitaa ya Tunduma[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

​

[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Baadhi ya magati ya IT yaendayo nchini Zambia yakiwa yamepakiwa nnje kidogo ya mji wa Tunduma kuogopa kuharibiwa kwa magari hayo[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

​





Diwani wa kata ya Tunduma Ndugu Frank Mwaijoka (Chadema) pamoja na mchungaji wa kanisa la KKT katika eneo hilo la Tunduma wilayani momba Mkoani mbeya wametakiwa kujisalimisha kituo cha Polisi Tunduma mara baada ya kuhusika na uchochezi wa kidini hali ambayo imepelekea kutokea kwa vurugu katika eneo hilo.


Vurugu hizo zimeanza majira ya saa 3:asubuhi katika eneo hilo la tunduma mara baada ya kundi la watu wanaodai kuwa wao ni wafuasi wa dini ya kikristo wakidai waruhusiwe kuchinja mifugo na kuuza katika mabucha yao hali iliyo pelekea kuibuka kwa vurugu hizo.


Akizungumza kuhusiana na tukio hilko Kamanda wa Polisi Mkoani humo Ndugu Diwani Athumani amesema kuwa kufuatia kuwepo kwa tukio hilo jumla ya watu zaidi ya 40 tayari wamekwisha kamatwa .


Amesema mpaka sasa taarifa walizo zipata kufuatia vurugu hizo zinaeleza kuwa miongoni mwa watu walichochea vurugu hizo ni diwani wa kata hiyo ya Tunduma Ndugu John mwaijoka pamoja na Mchungaji wa kanisa la kkt ndugu Neema Mwaipusa ambao kwa pamoja wametakiwa kujisalimisha kituo cha polisi kwa mahojiano zaidi.


Amesema suala hilo limegubikwa na siasa kwani tayari viongozi wa serikali akiwemo Mkuu wa mkoa huo Ndugu Abbas Kandoro amekwisha litolea ufafanuzi Apri 02 mwaka huu wakiwepo pia viongozi wa dini .
Amesema kwa asilimia kubwa mgogoro huo juu ya nani achinje umeingiliwa na mambo ya kisiasa kwani hata baadhi ya wananchi wa maeneo hayo wamekuwa wakilalamika juu ya kutokea kwa vurugu hizo.


Amesema shughuli za kibiashara katika eneo hilo zimeshindwa kufanyika katika eneo hilo hivyo kufanya wananchi kupata adha hasa kwa nchi jirani ya Zambia ambao kwa asilimia kubwa wanategema kupata mahitaji kutoka mpakani mwa Tanzania.


Hata hivyo Diwani amesema kuwa katika vurugu hizo askari mmoja pamoja na mwananchi wamejeruhiwa kwa kupigwa mawe ambapo tayari wamekwisha fikishwa kituo cha polisi.


Kufuati hali hiyo Kamanda huyo wa Polisi amesema kwa sasa hali imelejea katika hali yake ya kawaida hivyo amewataka wananchi wa maeneo hayo kuwa watulivu wakati jeshi hiulo la Polisi likiendela na msako wa kuwatafuta wahalifu wengine.


Picha na Mbeya yetu

[TD="align: center"] [/TD]
 
Sikujua kuwa NCHINI Sasa kuna MABUCHA ya WAKRISTO na WAISLAMU... Tunaiharibu NCHI sisi wenyewe... ni kwanini hatujaribu angalau kupata MISAADA ya USULUHISHI TOKA NJE?

Au MPAKA tumwage DAMU???
 
Huyu RPC hana adabu ujana unamsumbua haya mawani meusi anamtingishia nani mbeya aiangalie vizuri
 
Mungu atunusuru,kwanini watanzania tumefikia hapa?Hakika damu na machozi yanayomwagika hayatakwenda bure,wooteee waliosababisha sisi tufike hapa pakuanza kuwa na vitu vya wakristo na vyawasilamu lazima machozi na damu hizo zitawafata milele.
 
Kila tukio la vurugu naona sasa linakuwa "CHADEMALIZED".Hii haikubaliki!

Kisa ni diwani wa eneo hilo kuwa ni wa CHADEMA!
 
Sikujua kuwa NCHINI Sasa kuna MABUCHA ya WAKRISTO na WAISLAMU... Tunaiharibu NCHI sisi wenyewe... ni kwanini hatujaribu angalau kupata MISAADA ya USULUHISHI TOKA NJE?

Au MPAKA tumwage DAMU???
Huku sasa ni kujidekeza, yaani kweli hata hili linahitaji msaada kutoka nje? Hapa issue ni siku za nyuma tuliishije? Ni kwa vipi leo hili lionekane ni jambo kubwa ilihali huko nyuma haikuwahi hata mara moja kutokea mgogoro kuhusiana na suala hili. Kwanini tusirejee kwenye maisha yetu ya tangu enzi za mababu? Hivi pale kwenye machinjio ya kisasa ya Dodoma pale, anachinja nani? Au zile mashine za kuchinja na zenyewe zina maombi? Umaskini ndiyo chanzo cha haya yote. Na uwepo wa kiongozi asiyejijua kwanini ni kiongozi wa nchi ndiyo kunalifanya tatizo liwe kubwa mara dufu.
 
Wa kwanza kabisa kukamatwa alitakiwa awe Steven Wassira kwani wakati mgogoro huu unaanza kule Kanda ya Ziwa hakuwajibika kuutatua zaidi ya kuuchochea na kuufanya uenee hadi katika maeneo mengine nchini.
 
Sote ni ndugu
Nyama ndiyo itugombanishe?

JK sema neno watu wapate kupona.
 
Hivi hizi dini zimeletwa/kuja ili zituunganishe au kutugawa? Hii ndio faida ya kuwa na dini au ? Kuna sehemu tumeteleza tena pakubwa na utelezi wenyewe ni mkali hasa wakututoa meno na kukosa haiba mbele ya waliostaarabika.

SASA NAANZA KUPATWA NA SHAKA KAMA TANZANIA BADO NI NNCHI YA AMANI
 
Watawala wetu ndo wametifikisha hapa kwa kutokemea udini, bali kuutumia kutafuta kura wakati wa Kampeni za uchaguzi. Hawakufahamu kuwa ubaguzi ule wa wao wakristu sisi waislamu ni mbegu waliyokuwa wanaipanda na haya ni mavuno! Waliopanda mbegu hii kwa kuwa wapo madarakani wanao ufunguo wa kutegua mchezo huo mchafu kabla ya kuangamiza taifa! Wakati wa mabucha ya nguruwe Mzee Mwinyi hakusita kuwakemea waislamu na kuitetea Katiba wazi kuwa TZ ni ya watu wote bila kujali dini zao. Watawala wetu wa sasa hawana moral authority ya kufanya hivyo kwani waliwekwa madarakani na hao. Ushahidi wa wazi ulikuwa wa uchaguzi wa Igunga ambapo chama tawala kilipobaini kuzidiwa hoja kiligeuza kampeni na kutumia vibaya misikiti na spika zinazotumika kwa adhana zikatumika kuwaambia waislamu wasichague mgombea wa Chadema. Mavuno yake ndo haya. Inabidi wasimame na kukemea hali hiyo before it is too late!!
 
Wa kwanza kabisa kukamatwa alitakiwa awe Steven Wassira kwani wakati mgogoro huu unaanza kule Kanda ya Ziwa hakuwajibika kuutatua zaidi ya kuuchochea na kuufanya uenee hadi katika maeneo mengine nchini.
Nilijua utakuwa CHADEMA
 
Hivi wewe PINDA aliyekutuma Uutangazie UMMA kuwa Uchinjaji hufanywa na WAISLAMU tu je ulikurupuka nini? Nchi yetu si Ya Udini, sasa wewe kwa kauli hiyo Ulimaanisha nini?
 
Wa kwanza kabisa kukamatwa alitakiwa awe Steven Wassira kwani wakati mgogoro huu unaanza kule Kanda ya Ziwa hakuwajibika kuutatua zaidi ya kuuchochea na kuufanya uenee hadi katika maeneo mengine nchini.
Hamna cha Wassira rais tu! Ndio hana nguvu ya kutosha kukemea hili.
 
Huku sasa ni kujidekeza, yaani kweli hata hili linahitaji msaada kutoka nje? Hapa issue ni siku za nyuma tuliishije? Ni kwa vipi leo hili lionekane ni jambo kubwa ilihali huko nyuma haikuwahi hata mara moja kutokea mgogoro kuhusiana na suala hili. Kwanini tusirejee kwenye maisha yetu ya tangu enzi za mababu? Hivi pale kwenye machinjio ya kisasa ya Dodoma pale, anachinja nani? Au zile mashine za kuchinja na zenyewe zina maombi? Umaskini ndiyo chanzo cha haya yote. Na uwepo wa kiongozi asiyejijua kwanini ni kiongozi wa nchi ndiyo kunalifanya tatizo liwe kubwa mara dufu.


Enzi za MABABU... Angalia ndio hapo ninaposema tunahitaji MSAADA toka NJE... UTAWALA wa sasa UNAJARIBU KUANDIKA HISTORIA na kufuta HISTORIA ya SERIKALI HURU ya KWANZA toka kwa WAKOLONI; Unaongelea kuwa amani ilikuwepo toka enzi za MABABU zetu... hapana... ni PALE DAR ndio hao walioanzisha CHAMA cha TAA hakikuwa TANGANYIKA NZIMA na kilikuwa kama SOCIAL CLUB ndio Maana wakakivunja na kuanzisha TANU as a REAL POLITICAL PARTY halafu hapo ndipo wawaka wanamtuma NYERERE kwenda kuongea na WATEMI; MACHIFU na MANGI ambao enzi hizo walikuwa powerful na karibu sana na Utawala wa Mwingereza... Bila kuwarubuni hao na kuwahamasisha wanananchi wa Maeneo hayo kuipigia kura TANU halafu baada ya UHURU; kuvunja UCHIEF: UTEMI na UMANGI unadhani tungekuwa na kichi kimuungani kidogo tulichonacho? tungekuwa kama KENYA... Makabila Makubwa yanapokezana yanatafuta watu wa Makabila Madogo kufanya pact ili kupata kura... Lakini angalia from NYERERE; MKAPA; MWINYI; KIKWETE wote wametoka MAKABILA MADOGO unadhani ni kwasababu ya hao MABABU ZETU? HATA KIDOGO NI JULIUS NYERERE POINT BLANK!!!! PERIOD>>>>> TAKE IT OR LEAVE IT!!!

CCM ya sasa HIVI ni ULIMBUKENI... YAJARIBU kuandika HISTORIA na kufuta vyote vizuri JK NYERERE alivyohamasisha... IT IS A SHAME!!!
 
Back
Top Bottom