Pichani - Lulu na Marehemu Kanumba

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
575461_159467390847685_100003532743677_201710_1275954129_n.jpg
 
Hii kanumbaism inachosha sasa hebu tufikirie mambo mengine in other words waache wafu wazike wafu wenzao
 
Kumbe Lulu ni mtoto mdogo bado, huenda hata umri wake si sahihi, hakupaswa kujihusisha na ngono kwa kiwango hiki, na hivyo kumweka katika mazingira ya utata angali mdogo ni wingu ambalo halitatoka maishani mwake.
 
Hii kanumbaism inachosha sasa hebu tufikirie mambo mengine in other words waache wafu wazike wafu wenzao

Kama kuna mada yaniboa au kunichosha huwa sina haja ya kuisoma au kuchangia, nawaachia wengine, kwanini nilalamike?
 
Lulu alidanganyiiiika.

Hili tukio ni fundisho kwa wale jamaa wanaopenda ndogo ndogo na kwa ndogo ndogo zinazopenda chipsi kuku.
 
Lulu alidanganyiiiika.

Hili tukio ni fundisho kwa wale jamaa wanaopenda ndogo ndogo na kwa ndogo ndogo zinazopenda chipsi kuku.

Na tatizo kubwa zaidi hawa dogo hawako confidence na mmoja, they just plyaing games, jama anaweza kujutuma mzima mzima bila kuisoma saikoloji wa dogo wafanyavyo. Na kilichomwua Stefen kinabaki siri ya dogo, na ipo siku ataropoka, maana umri huu ni dogo kumtafutia dogo mwenzake yote yatakuwa hadharani.
 
Asante sana Mpwa kwa compliment, naamini jukwaa hili si kwa ajili ya kulumbana kubaya bali kuelekezena na hakuna kitu kizuri kama kukubali kosa na kuanza upya
Majibu yako yaonesha ukomavu, watu wote wangekuwa hivi...............
 
Hii kanumbaism inachosha sasa hebu tufikirie mambo mengine in other words waache wafu wazike wafu wenzao

Waache waigizaji na maigizo yao-Waigizaji wa maigizo na sio filamu- Tanzania hakuna filamu bali maigizo-
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom