CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Maana sijaelewa aise.
Hahahahaha.vidole kaviingiza kwenye tundu ndani ya meza unayoina hapo mbele ni sausage,na ili kuthibitisha hilo kuna vidole vitatu tu cha mwisho hakipo.
Mwongo!vidole kaviingiza kwenye tundu ndani ya meza unayoina hapo mbele ni sausage,na ili kuthibitisha hilo kuna vidole vitatu tu cha mwisho hakipo.
vidole kaviingiza kwenye tundu ndani ya meza unayoina hapo mbele ni sausage,na ili kuthibitisha hilo kuna vidole vitatu tu cha mwisho hakipo.
Hahahahaha.
Ebu ngoja nikodoe ntarudi.
Kipo bhana!cha mwisho mbona kipo au mimi sion vizuri
vidole kaviingiza kwenye tundu ndani ya meza unayoina hapo mbele ni sausage,na ili kuthibitisha hilo kuna vidole vitatu tu cha mwisho hakipo.
Umeona eeeh!Mkuu Boscondaganda hajaangalia vema
pale kuna vidole vinne na kidole gumba
pia kinaonekana kwa mbali kidogo.
Nitafute basi...arghhhh mwili umenisisimka eti
Umeona eeeh!
Hahahahaha.Nitafute basi...
Haswaaaaaa.Nadhani Mkuu Boscondaganda atarudi
baada ya kuangalia vema picha hiyo.
arghhhh mwili umenisisimka eti
Ingekua nini?Mmh Kidole tuu; Ingekua naniliu je?