PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,202
- 8,787

Waziri Mkuu wa DenMark Bi.Helle Thorning-Schmidt akipokelewa kwa ngoma Uwanja wa Ndege Arusha
Ngoma za utamaduni za kabila la Wa-Iraq zikimtumbuiza Bi Helle
Ngoma ya Akina mama wa kikundi cha kujitegemea wakitoa Burudani kwa mgeni huyu toka DenmARK.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo akiwa sambamba na mgeni , Bi Helle-Schmidt.

Bi Helle akiwa ndani ya Ukumbi wa wageni mashuhuri kiwanjani Arusha, huku Walinzi wake wakiwa wamejipanga sawia kudhibiti Usalama.

Waziri Mkuu wa Denmark akitoka kwenye ukumbi wa watu mashuhuri na kelekea kuanza msafara wa kutoka kuelekea mjini Arusha.

Mgeni akiwa amepanda kwenye magari ya Msafara tayari kwa kuondoka.