Picha zangu mpya mpya hizo angalia

Picha zangu mpya mpya hizo angalia

MziziMkavu asante sana kwa hizi picha
ila nachukua baadhi naweka kwenye albam yangu.
 
Last edited by a moderator:
Hii picha imeniumiza sana

734737_425877697486305_82540350_n.jpg
 
A 4month baby girl found buried alive
So surprisingly she's still alive
But is a very critical condition
May the Lord Jesus christ heal this Child
Type "Amen"
Pls don't ignore, don't scroll without writing "Amen"

544347_366807270102796_1850537564_n.jpg
Mwacheni Mungu aitwe Mungu!
 
383751_524260654264515_1738450821_n.jpg


Hii makaku ni ya kwetu ku-Congo, unafanya mimi mate kudondoka kwa mudomo.
 
Kwa nini tena Dada yangu?

Najiuliza hao watoto wamekumbatiana hapo Ni njaa

Ukiwaangalia wamechafuka hawana mashati ,Miguuni hawana viatu
na huyo mkubwa alivyomkumbatia mwenzie kwa upendo
Sijui ni njaa ? sijui uchovu
na kopo lao pembeni kweli duniani kuna mitihani ya maisha
 
Back
Top Bottom