NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,965
umenikumbusha kijijin mkuu
umenikumbusha kijijin mkuu
Pole sana mkuuumenikumbusha kijijin mkuu
ahsantePole sana mkuu
Dodoma hakuna hotel ahahahahahaaaaaDah iseee vyote nimetumia nilikuwa atari
Hapo kwenye DH .... Dingi hana huwezo ...hahahaahahahaha
Tahfif wali moto mchuzi moto
Kizazi cha Yutoung na marcopollo tizameni tulipotoka huko kitu kina nesa nesa hicho ndani humo kuna bomba kati hapo kama tatu mwarabu anakwambia shuma mtupu (chuma chenyewe )sio hizi kopo za castle hata ukiipiga ngumi inabonyea
Mkuu enzi hizo niko darasa la tatu mwanafunzi mmoja mtoto wa mwalimu kaja shule kavaa DH,nilikua mnyonge siku nzima kwa wivu.naruni home mama ananiuliza kama naumwa nikampataa rifa za hizo raba alizo nunuliwa jamaa,hizo raba ilikua ni shidaaa ukiwana nazoDah iseee vyote nimetumia nilikuwa atari
Hapo kwenye DH .... Dingi hana huwezo ...hahahaahahahaha
Mkuu ziliitwa hivyo kwasababu hakuna mahali zilishindwa kufungua kwenye baiskeliHa ha ha, hivi kwa nini iliitwa hilo jina?
Kwa sababu ya kuwa Na matundu mengi kila nati inaingiza kichwa, pamoja Na maadili yaliyotukuka enzi hizo hata mbele ya maza dingi anakuagiza " leta spana malaya iko hapo juu ya kabat"Ha ha ha, hivi kwa nini iliitwa hilo jina?
Chemlii
