Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,113
- 110,869
Viongoz wetu wametoka mbal kwel cha kale dhahabu
Kama T 2016 JPM
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Viongoz wetu wametoka mbal kwel cha kale dhahabu
Kipindi kile hawa watoto wa kisasa walikua hawaja tuharibia lugha aiseeee......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa sababu ya kuwa Na matundu mengi kila nati inaingiza kichwa, pamoja Na maadili yaliyotukuka enzi hizo hata mbele ya maza dingi anakuagiza " leta spana malaya iko hapo juu ya kabat"
Afadhali wewe umekua mkweliMm hata cvielewi ivo v2 zaid ya huyo anaekoga
Unasoma Form ngapi?Mm hata cvielewi ivo v2 zaid ya huyo anaekoga
Enzi za Mwl.Ha ha ha ha, kwenye vihesabio hivyo, nimetumia asee ,unatundika shingon...
Hebu nieleze hicho kiatu ni miaka ipi? wengine tulikulia shamba na boarding. basi. Enzi hizo hata mtoto wa waziri mnaazimana nguo hakuna cha nani wala naniii.Hapo kwenye DH hapo we acha tu
Duh Pombe koti hilo sidhani kama aliuliza ushauri kwa Janet kabla hajalinunua.
Umenkumbsha zaman aiseeee zirud tuu tuachane na za kupangusa
Pijo 404; Uchagani ikiitwa "Rula"!! Wee acha tu, old is gold.